Kwann sasa tenaHa ha ha,mecheka kweli yaan
Mambk gani tena hayoHizi mambo anaweza mzabzab ...ukimchomekea yupo shapu kujibu kana kwamba mmewahi hata kuonana
Kuna manzi nilimpelekea kama wa siku ile niliyemleta ili tupige threesome lakini kazingua anauliza yupi tena?Mambk gani tena hayo
Weee ile threesome ilikuwa inaenda kuniuaKuna manzi nilimpelekea kama wa siku ile niliyemleta ili tupige threesome lakini kazingua anauliza yupi tena?
Ha ha haa,moto uliwaka?Weee ile threesome ilikuwa inaenda kuniua
Kabisaumesahahu ni mwanamke tu ndiyo anaweza kumfurahisha mwanaume akatoa kila kitu! mpaka roho
Hakuna la ukweli kuhusu sisi hapo hata moja....
ni kweli kabisa ndo mana ni wanaume wanaotupa watoto kwenye tundu la choo..apo vp?Umesahau moja la msingi, mwanamke hawezi kutelekeza familia yake na kwenda kuhamia kwa kimada akiwaacha watoto wake wanateseka ndani. Mwanaume yuko radhi hata akope mkopo aweke rehani nyumba akatumbue hela na kimada alafu nyumba ikiuzwa bado yeye ni mbabe. Hao ndio wanaume. Kongole kwenu.
Na hili pia, wanaume watatelekeza mtoto ila mtoto akifanikiwa baada ya miaka 20 wanataka mafao yao kama wazazi😂
Unapost wewe,..Kisha unapinga Tena wewe@To yeye.are you seriousHakuna la ukweli kuhusu sisi hapo hata moja....
Case study.8).Wanawake ni rahisi sana kudanganywa na kutapeliwa kuliko wanaume.
Angalia kapost nani?Unapost wewe,..Kisha unapinga Tena wewe@To yeye.are you serious
OkAngalia kapost nani?
Ila nyie mnaozaa na kutelekeza huwa mnavifanya ndotoni au sio. Cases za mwanamke kutupa mtoto chooni kwasababu mwanaume kamkataa na mwanaume anaetelekeza familia anahamia kwa hawara yupi ana afadhalini kweli kabisa ndo mana ni wanaume wanaotupa watoto kwenye tundu la choo..apo vp?
Hili lilikuwa limekubalika zamani sio sasaivi. Wanawake waliotelekeza watoto na familia zao kwaajili ya pesa mbona wapo na ilishaanza kutokea kwa muda sasa. Wapo walioacha watoto ili waolewe, wapo walioacha familia kabisa kwaajili ya mali na wengine wengi. Times have changed mkuu!
kwa kuwa watoto hawaoni ambayo baba yao anawafanyia mama yao? Mtoto anaekubali kulishwa sumu ikiwa baba ana play part vizuri basi huyo mtoto ni laana.usisahahu mwnamke ndo kiumbe pekee anaechongnisha wtt na baba wasipendane apendwe yy tu"