Inaendelea;
18.Mwanamke ndio kiumbe pekee kinachoweza kucheka kicheko Cha huzuni na kulia machozi ya furaha.
19.Mwanamke akisema " ndio" atakuwa amemaanisha " hapana" na akisema " hapana" atakuwa amemaanisha " ndio"
20.Mwanamke akichepuka Ni hatari kuliko mwanaume akichepuka.Namaanisha mwanamke akipata mchepuko huko nje anaingia Mazima na akili zake zote na kumsahau/ kupunguza mapenzi kwa mumewe tofauti na mwanaume ambaye anaweza akapata mchepuko na bado akaendelea kumpenda mkewe.