Maajabu ya mwanamke

Maajabu ya mwanamke

Inaendelea;

18.Mwanamke ndio kiumbe pekee kinachoweza kucheka kicheko Cha huzuni na kulia machozi ya furaha.

19.Mwanamke akisema " ndio" atakuwa amemaanisha " hapana" na akisema " hapana" atakuwa amemaanisha " ndio"

20.Mwanamke akichepuka Ni hatari kuliko mwanaume akichepuka.Namaanisha mwanamke akipata mchepuko huko nje anaingia Mazima na akili zake zote na kumsahau/ kupunguza mapenzi kwa mumewe tofauti na mwanaume ambaye anaweza akapata mchepuko na bado akaendelea kumpenda mkewe.
 
Ukiachilia mbali binadamu, mwanamke ni kiumbe ambaye hajawahi kueleweka anataka nini
 
Back
Top Bottom