Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Tuliteseka sana jamani, tunywe tu bia kwakweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu siasa za kiafrika bila unafiki huwezi fika mbali, kwani chanzo ni watawala wanapenda sana kuabudiwa!!Sidhani kama kuna mtu atapa stress ya jambo kama hili. Tatizo la viongozi kama hawa ni kuwa hawana msimamo. Na dunia hii ogopa sana sana mtu asiye na msimamo hasa kama ni kiongozi. BTW alilosema ni kweli kabisa ila kukosa kwake msimamo ndiyo tatizo.
Itakuwa aliipata kwa njia kama ile ya jiweNiliskia huyu jamaa ana PhD. Ni kweli?
Yupo sahii Sana ,unamkamia mtu kwamba hakuna kupiga mvinyo kuanzia mda flani, ali hali mtu Hana majukum ya kutekeleza KWA mjibu wa ratiba zake,haikua sawa
Acheni watu wanywe bia
Niliwahi andika humu iko siku tusipojiangalia "MAMLAKA ZA TEUZI ZITATULETEA MTU FYUZI KABISA NGAZI YA JUU" hizi ni rasharasha... huyu ameruhusu muziki wa sauti kubwa upigwe kinyume cha sheria źa mazingira sasa anaruhusu pombe... angemalizia na makahaba wasifukuzwe wala kukamatwa na polisi maana miili ni yao!!!
Iko nchi jirani yetu wao hunywa bia badala ya chai basi wangekuwa wanaongoza kiuchumi na wasingekuwa wakiiba shaba ya DiaraSii kama bia ingekuwa chanzo kikuu cha uchumi...Acha watu wanywe bia na wachangie uchumi mkuu wa taifa 👍👍
Kusema kasogezwa mlango wa kutokea ni kujipa matumaini fulani ambayo ni hewa.Iko nchi jirani yetu wao hunywa bia badala ya chai basi wangekuwa wanaongoza kiuchumi na wasingekuwa wakiiba shaba ya DiaraSii kama bia ingekuwa chanzo kikuu cha uchumi...
Huyu amesogezwa mlango wa kutokea... na huenda aibu kubwa iko njiani ambayo haitamuaibisha yeye tu bali waliopendekeza apelekwe Mwanza...
Pombe, uzinzi na uzembe havijawahi kumuacha mtu salama...
Kunywa kwa raha zako Mkuu na usitutapikie ama kututapakaza kinyesi cha starehe zako... samahani lakini "...ni wapumbavu pekee ambao hutarajia mapato makubwa ya taifa yatokane na sigara au pombe"Kusema kasogezwa mlango wa kutokea ni kujipa matumaini fulani ambayo ni hewa.
Kama wewe hunywi pombe haimaanishi wale wanaokunywa ni watenda dhambi wasioweza kusamehewa na Mungu.
Mchango wa wazalishaji wa bia kwenye uchumi mkuu ni mkubwa sana, nenda TRA uwaulize na watakupa takwimu za uhakika.
Wenye akili wanakunywa pombe siku zote. Maprofesa wa vyuo vikuu wanakunywa pombe. Profesa Shaba aliyeutunza mwili wa Hayati Sokoine pale Karimjee mwaka 1984 ni mnywaji mzuri wa pombe, alipenda sana kunywa pale Chinese Restaurant, Kilimanjaro Hotel, IFM na bar zote za katikati ya jiji.Kunywa kwa raha zako Mkuu na usitutapikie ama kututapakaza kinyesi cha starehe zako... samahani lakini "...ni wapumbavu pekee ambao hutarajia mapato makubwa ya taifa yatokane na sigara au pombe"