Maajabu ya Serikali! Watumishi wanyang'anywa ongezeko la Mshahara!!

Mtakula mnakopelekaga mboga
 
Kumekuwa na usemi Rais apewe muda na hili pia apewe muda.
 
Safi sana ni vizur sana hivyo walivyo fanya ikibidi wasiwalipe kabisa

Sisi tukiwa tunaandama kudai khaki huwa mnatuona kama hatuna akili vizur

Utasikia ooh ivi nyie mnaondama huwa hamna kazi za kufanya

Sasa pambanen na hali zenu
Na bado mpaka maji muite mmaa

Ova
Mtakula mnakopelekaga mboga
Kama utumishi wa umma unagusa na polisi, na TISS ata mshahara ungeshushwa hakuna tatizo maana hawana wanachokifanya zaidi yakutetea chama.
Unafiki wa Bavicha, mlitaka nani aandamane badala yenu? Mngeanza ninyi kumuunga mkono Mbowe alafu ndio uje umlaumu mwingine badala ya kukaani na kuwatusi wengine.
 
Unafiki wa Bavicha, mlitaka nani aandamane badala yenu? Mngeanza ninyi kumuunga mkono Mbowe alafu ndio uje umlaumu mwingine badala ya kukaani na kuwatusi wengine.
Maji mtayaita mma
Acha mkomeshwe tu

Ova
 
Fanya kazi subur posho za kuhuisha daftar la wapiga kura
 
H
Unaongezewa mshahala Kwa ajili Gani . Ukiongewa akikisha umeongeza uzalishaji
 
Ungeandamana jana ukaandika bango kubwa kuhusu hii issue Dunia nzima ingefaham
 
SOOOOOOMA HIYOOOOO
 
Fanyeni maridhiano na serkali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…