Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo kwa shemeji huyo kula kulala ndo maana pinchi ya maisha haioni kwa sababu hana majukumu Fala huyo.Acha ujinga, siyo kila anayesemea maslahi ya watumishi wa umma ni mtumishi, au ni mwalimu!!
Watumishi wa umma wakiguswa kwenye maslahi yao hata wasio wa watumishi wanaumia!
Yamkini yawezekana hata wewe ni mtumishi wa umma upo nyuma ya keyboard huko unaugulia maumivu pia!
Kwani hapa aliyelalamika ni mwalimu?Mkajiajiri.
Kwanza huko mashuleni mnawafundisha watoto ujinga tu.
Mwalimu gani anaandika chakuRa badala ya CHAKULA .... ole wenu niwe Rais nitawafuta kwenye ramani ya Tanganyika.
Mwakani nakuwa mkuu wa mkoa wa Dar... mjipange kweli kweli. Sitaki mwalimu kilaza.
Cc: FaizaFoxy
Angalia na wewe ulivyo juha!Kodi hamlipi, Hamzalishi chochote, kila kukicha mnataka NYONGEZA za mishahara, mlipwe kutoka wapi?
Mkiona wao wana kula wanakula hicho kidogo wanachokimbizana na kukabana koo na wafanya biashara, na misaada kutoka huko nchi za watu, nyie muwe na subira, zamu yenu itafika mkifika pale walipo huko juu.
Huyo rais wenu huyo!Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea!
Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi!
Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa tisa iliyotoka wale walioongezewa mwezi uliopita wamenyang’anyw lile ongezeko na hata wale ambao hawakuongezewa hawajaongezewa chochote pia!!!
Vyama vya wafanyakazi, TUCTA, TUGHE, CWT n.k wajitokeze wawaeleze wafanyakazi ambao ni wanachama wao nini kimejiri!
Lakini pia ikumbukwe mnamo Mei Mosi mwaka huu Arusha kwenye sherehe ya wawafanyakazi Makamu wa Rais ambayevalimuwakilisha Rais alisema mbele ya umma kuwa Rais angesema kitu kuhusu mishahara ya wafanyakazi, jambo ambalo imekuwa kimya.!
Jina lako bana Bichwa Komwe.Mkajiajiri.
Kwanza huko mashuleni mnawafundisha watoto ujinga tu.
Mwalimu gani anaandika chakuRa badala ya CHAKULA .... ole wenu niwe Rais nitawafuta kwenye ramani ya Tanganyika.
Mwakani nakuwa mkuu wa mkoa wa Dar... mjipange kweli kweli. Sitaki mwalimu kilaza.
Cc: FaizaFoxy
Tulia unywe dawaWee jamaa inaonekana akili zako hazipo sawa, unakoment upupu tu!