Maajabu ya Serikali! Watumishi wanyang'anywa ongezeko la Mshahara!!

H

Unaongezewa mshahala Kwa ajili Gani . Ukiongewa akikisha umeongeza uzalishaji
Unaelewa maana ya watumishi wa umma?
Unataka daktari aongeze uzalishaji wa nini katika huduma yake anayoitoa..!?!
 
Yupo kwa shemeji huyo kula kulala ndo maana pinchi ya maisha haioni kwa sababu hana majukumu Fala huyo.
 
Kodi hamlipi, Hamzalishi chochote, kila kukicha mnataka NYONGEZA za mishahara, mlipwe kutoka wapi?

Mkiona wao wana kula wanakula hicho kidogo wanachokimbizana na kukabana koo na wafanya biashara, na misaada kutoka huko nchi za watu, nyie muwe na subira, zamu yenu itafika mkifika pale walipo huko juu.
 
Angalia na wewe ulivyo juha!
Watumishi wa umma hawalipi kodi??
Kuna mtu anayelipa kodi nyingi kama mtumishi? PAYE anayokatwa ni kitu gani?
Akinununua bidhaa kwa mfanyabiashara ile 18% na kodi nyingine wafanyabiashara wanazolipa zinatoka wapi…??
Ficha upumbavu wako japo kidogo!
 
Huyo rais wenu huyo!
 
Jina lako bana Bichwa Komwe.
Ni noma aiseee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…