DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan
I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018 hii.
Nilichogundua Mapenzi hayalazimishwi yankj automatically.
Na huu ndo ukweli.
"Hakika kunguru muhoga uishi miaka mingi"