Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

Maajabu ya Simba na Yanga kwenye World Cup Qualifier 2021

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
MALI anayochezea Diarra wa Yanga imeipiga Kenya ya Onyango wa Simba bao 5

Uganda anayochezea Aucho wa Yanga imeipiga Rwanda ya Kagere wa Simba bao Moja

Na Malawi ya Banda na Nyoni wa Simba imekufa bao 3 kwa Ivory Coast

kenya.jpg
peterbanda.jpg
uganda.jpg
 
Kiukweli umeandika kiunazi sana mkuu. Umesema Uganda ya Aucho lakini hukumtaja Lwanga ambaye jana wote wawili walichezea Uganda. Diarra kwenye mechi ya Mali hakupangwa hivyo hana credit yoyote kwasababu hakuna mchango wake katika mechi husika.
 
Wewe nawe mchambuzi kwa pumba hizi.

Nenda kachambe kwanza unachafua jukwaa upo kinazi mno.
 
Kweli kuna tatizo kubwa sana kama taifa tunakuwa na mawazo kama haya ya mtoa mada
 
Back
Top Bottom