Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Asante sana kwa kutuelimisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemshauri aingie aone mwenyewe🤣🤣🤣🤣Unamtisha bure 😀 kuna madogo wako mtaani wanakula maisha kupitia tairi
Niko pamoja na wewe mkuu namuongelea huyu dogo anaewaza buku mbili ya kula mchana huuKumbuka hata mimba huanza na manii.. Unaanza na tani MOJA. Mtaji lakiView attachment 3153549
Mshana this is good. Labda mimi niongeze kitu hapo.Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari
Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira
Tairi moja mbovu ya gari kubwa ya mizigo unaweza kuinunua kwa kati ya shilingi 2000 mpaka 5000 kulingana na ubora . Zikiwa tairi 18 mpaka 20 zinatengeneza tani moja
Sasa tuchukulie kwa makisio ya juu.. Utainunua kwa shilingi 5000, lakini atakuja mchunaji ataichuna kwa ndani na kupata mipira kati ya 20 na 25 ..
Mipira ile ya kufungia mizigo kwenye baiskeli na bodaboda
Kila mpira utauza shilingi 500 Kwa jumla. Weka wastani wa mipira 24 kwa tairi sawa na elfu 12,000.. Toa 2000 ya mchunaji unabaki na elfu 10, toa elfu 5 ya manunuzi unabaki na elfu 5 kwa tairi. Zidisha mara 20 unapata laki 1 ffaida
Ukitoka hapo unapeleka tairi zako kiwanda ni na kwenda kuuza kwa kilo.. Tairi 20 zinazotengeneza tani moja utauza kwa bei ya chini kabisa Shilingi laki 2, kumbuka kule ulishapata laki 1 ya mipira na hiyo laki mbili ni yako yote usafiri ni malipo mengine
Sasa tairi 20 ulizonunua kwa laki 1
Zimekuletea faifa ya laki 1 kwenye kuchuna mipira na faida ya laki 2 kiwandani . jumla laki 3.. Hapo faida inaweza kuongezeka ukipata tairi kwa chini ya elfu 5 na ukauza zaidi ya laki 2
Hapo kwa wapambanaji ni fursa yenye kipato cha kueleweka
Sasa twende huko viwandani ushuhudie maajabu
Msimu wa kilino huu. Kibarua cha kulima heka 1 ni laki hapo unapewa pa kulala na posho ya chakula. Ndani ya siku 10 umeua heka kivivu.Niko pamoja na wewe mkuu namuongelea huyu dogo anaewaza buku mbili ya kula mchana huu
Means ajipambanie kwanza apate mtaji then ajilipue huku
Huu uzi nauweka kwenye bookmark.🤝
Mkuu subiri wabongo waje mbio na maswali ya ubishi kama inavyokuwa kwa Simba na Yanga. Hawatajaribu kufanya waone matokeo halisi bali watageuza hili chimbo kuwa mada ya kwenda nayo kijiweni. Subiri utajionea mwenyewe.Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari
Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira
Tairi moja mbovu ya gari kubwa ya mizigo unaweza kuinunua kwa kati ya shilingi 2000 mpaka 5000 kulingana na ubora . Zikiwa tairi 18 mpaka 20 zinatengeneza tani moja
Sasa tuchukulie kwa makisio ya juu.. Utainunua kwa shilingi 5000, lakini atakuja mchunaji ataichuna kwa ndani na kupata mipira kati ya 20 na 25 ..
Mipira ile ya kufungia mizigo kwenye baiskeli na bodaboda
Kila mpira utauza shilingi 500 Kwa jumla. Weka wastani wa mipira 24 kwa tairi sawa na elfu 12,000.. Toa 2000 ya mchunaji unabaki na elfu 10, toa elfu 5 ya manunuzi unabaki na elfu 5 kwa tairi. Zidisha mara 20 unapata laki 1 ffaida
Ukitoka hapo unapeleka tairi zako kiwanda ni na kwenda kuuza kwa kilo.. Tairi 20 zinazotengeneza tani moja utauza kwa bei ya chini kabisa Shilingi laki 2, kumbuka kule ulishapata laki 1 ya mipira na hiyo laki mbili ni yako yote usafiri ni malipo mengine
Sasa tairi 20 ulizonunua kwa laki 1
Zimekuletea faifa ya laki 1 kwenye kuchuna mipira na faida ya laki 2 kiwandani . jumla laki 3.. Hapo faida inaweza kuongezeka ukipata tairi kwa chini ya elfu 5 na ukauza zaidi ya laki 2
Hapo kwa wapambanaji ni fursa yenye kipato cha kueleweka
Sasa twende huko viwandani ushuhudie maajabu
Kuna project nyingi sana mitaani kupitia tairi mbovuMshana this is good. Labda mimi niongeze kitu hapo.
Badala ya kuishia kwenye .mipira ya kufungia mie nadhani vijana waende mbele zaidi.
Yaani tairi is a material. Kwa sababu ni material basi tufanye innovation ya vitu vingi zaidi. Mfano masai wao wameitumia ktk kuunda KATAMBUGA tangu zamani, sasa tunaweza ifanya iwe sore ya viatu mbali mbali. Sasa kazi kubwa ya mbunifu niku chukua material mbali mbali kama ngozi, vitambaa magunia nk ili kubuni viatu vya aina mbali mbali.
Wengine waongezee.
OK.Mshana this is good. Labda mimi niongeze kitu hapo.
Badala ya kuishia kwenye .mipira ya kufungia mie nadhani vijana waende mbele zaidi.
Yaani tairi is a material. Kwa sababu ni material basi tufanye innovation ya vitu vingi zaidi. Mfano masai wao wameitumia ktk kuunda KATAMBUGA tangu zamani, sasa tunaweza ifanya iwe sore ya viatu mbali mbali. Sasa kazi kubwa ya mbunifu niku chukua material mbali mbali kama ngozi, vitambaa magunia nk ili kubuni viatu vya aina mbali mbali.
Wengine waongezee.
Ni kweli bado hatujafunguka kiakili na kuiona hiyo kama Fursa ila tumeishia kuchoma matairi mabovu barabarani Usiku wa kuamkia Mwaka mpya au kuwapa watoto wakiume kama kitu cha kuchezea tu.Kuna project nyingi sana mitaani kupitia tairi mbovu
Makatambuga
Mikoba ( hii project inafanywa na wazungu mikocheni)
Mipira ya kufungia vitu
Vyombo vya vyakula vya kuku bata nk
Urembo wa bustani
Viti
Binding wire nknk
Labda kama kuna Hoja tofauti zaidi lakini kama ni kwa habari ya mazingira; kwa kawaida mambo hayo hufanyika kwenye maeneo maalum (Sites)ambayo yametengwa (eneo tengefu)kwa shughuli hiyo na kuwa ni mbali na makazi ya watu.Mchakato wa kuchoma tajiri hizo mbovu Ili kupata waya ni mbaya sana Kwa mazingira,
Jambo hili Lina HASARA kuliko faida.
Lipifww marufuku Ili kulinda mazingira na AFYA za watu.
Uchomaji wa tajiri kupata hizo waya wanachoma mtaani.Labda kama kuna Hoja tofauti zaidi lakini kama ni kwa habari ya mazingira; kwa kawaida mambo hayo hufanyika kwenye maeneo maalum (Sites)ambayo yametengwa (eneo tengefu)kwa shughuli hiyo na kuwa ni mbali na makazi ya watu.