Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

Mambo ya kilimo cha matikiti ya mtandaoni. Dada yangu alilima lililokuwa kubwa ni la ukubwa WA nazi.🤣🤣🏃🏃
 
Tatizo linabaki kua unaanza anza vipi
wakati mtaji huna.
Akhasante kwa maarifa mkuu.🤝
 
Mambo ya kilimo cha matikiti ya mtandaoni. Dada yangu alilima lililokuwa kubwa ni la ukubwa WA nazi.🤣🤣🏃🏃
Haya ni matairi sio matikiti.. Biashara imenyooka
 
Mshana this is good. Labda mimi niongeze kitu hapo.
Badala ya kuishia kwenye .mipira ya kufungia mie nadhani vijana waende mbele zaidi.
Yaani tairi is a material. Kwa sababu ni material basi tufanye innovation ya vitu vingi zaidi. Mfano masai wao wameitumia ktk kuunda KATAMBUGA tangu zamani, sasa tunaweza ifanya iwe sore ya viatu mbali mbali. Sasa kazi kubwa ya mbunifu niku chukua material mbali mbali kama ngozi, vitambaa magunia nk ili kubuni viatu vya aina mbali mbali.
Wengine waongezee.
 
Niko pamoja na wewe mkuu namuongelea huyu dogo anaewaza buku mbili ya kula mchana huu
Means ajipambanie kwanza apate mtaji then ajilipue huku
Huu uzi nauweka kwenye bookmark.🤝
Msimu wa kilino huu. Kibarua cha kulima heka 1 ni laki hapo unapewa pa kulala na posho ya chakula. Ndani ya siku 10 umeua heka kivivu.
Ifike mahala tusitetee wavivu.
 
Mkuu subiri wabongo waje mbio na maswali ya ubishi kama inavyokuwa kwa Simba na Yanga. Hawatajaribu kufanya waone matokeo halisi bali watageuza hili chimbo kuwa mada ya kwenda nayo kijiweni. Subiri utajionea mwenyewe.
 
Kuna project nyingi sana mitaani kupitia tairi mbovu
Makatambuga
Mikoba ( hii project inafanywa na wazungu mikocheni)
Mipira ya kufungia vitu
Vyombo vya vyakula vya kuku bata nk
Urembo wa bustani
Viti
Binding wire nknk
 
OK.
1. Zile nyaya huuzwa kama zilivyopatikana baada ya kuunguzwa na hutumika kufungia fito badala ya misumari ktk ujenzi wa nyumba za kienyeji a.k.a Tembe.
2. Mipira migumu ya nje (Tyre)hutumika kutengeneza Bushes(Ni nzuri na imara zaidi ya zile bush zinazokuja og. e.g. kwenye pkpk tairi la nyuma.
 
Kuna project nyingi sana mitaani kupitia tairi mbovu
Makatambuga
Mikoba ( hii project inafanywa na wazungu mikocheni)
Mipira ya kufungia vitu
Vyombo vya vyakula vya kuku bata nk
Urembo wa bustani
Viti
Binding wire nknk
Ni kweli bado hatujafunguka kiakili na kuiona hiyo kama Fursa ila tumeishia kuchoma matairi mabovu barabarani Usiku wa kuamkia Mwaka mpya au kuwapa watoto wakiume kama kitu cha kuchezea tu.
Pale Moshi mjini kulikuwa na kiwanda (General Tyre ??) kilikuwa kinafanya "Retreading" cjui kama kipo tena ck hizi.
 
Mchakato wa kuchoma tajiri hizo mbovu Ili kupata waya ni mbaya sana Kwa mazingira,

Jambo hili Lina HASARA kuliko faida.

Lipifww marufuku Ili kulinda mazingira na AFYA za watu.
 
Mchakato wa kuchoma tajiri hizo mbovu Ili kupata waya ni mbaya sana Kwa mazingira,

Jambo hili Lina HASARA kuliko faida.

Lipifww marufuku Ili kulinda mazingira na AFYA za watu.
Labda kama kuna Hoja tofauti zaidi lakini kama ni kwa habari ya mazingira; kwa kawaida mambo hayo hufanyika kwenye maeneo maalum (Sites)ambayo yametengwa (eneo tengefu)kwa shughuli hiyo na kuwa ni mbali na makazi ya watu.
 
Uchomaji wa tajiri kupata hizo waya wanachoma mtaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…