Bei ya pyrolysis plant ndio inaanzia milion mia mojaNanukuu "mabaki ya tairi kwa watengeneza ndala yale yanaitwa maini, na kuna unga wa tairi toka viwanda vinavyofanya retrading. Bei ni kuanzia milion 100"
Kwa hali hii hayo maini na huo unga vitakuwa adimu sana kwa sasa.
Amen 🙏🏾🙏🏾Nakuombea .. Weka nia jitume.. Utaona matunda yake
asee nimeshangaa mkuu. kwahyo matairi yale tunayoenda kubadili huwa wanayauza tena.Kuna watu wametoka kimaisha na wamejipata vizuri tuu kupitia hiyo biashara...
Hapa ukitaka kuiona pesa ni kufunga mtambo wako , idea nzuri sanaBei ya pyrolysis plant ndio inaanzia milion mia moja
Vipi chuma chakavu ,kule zambia na malawi bado kinapatikana kama miaka ile ya nyuma au biashara ishaingiliwa na mikono ya serikali ,?Kuna watu wametoka kimaisha na wamejipata vizuri tuu kupitia hiyo biashara...
Mkuu sasa hivi Kila aina ya takataka ni Dili.u nimeshangaa mkuu. kwahyo matairi yale tunayoenda kubadili huwa wanayauza tena.
Unaweza kupata mtambo mzuri tuu kwa chini ya hiyo bei.. Na uzuri ni kwamba hakuna kinachotupwa kwenye tairiHapa ukitaka kuiona pesa ni kufunga mtambo wako , idea nzuri sana
Shukran kaka Mshana
Takataka ni mali
Na ukiangalia inawezekana tu ,kuna watu wana milioni zaidi ya mia ,
Chuma chakavu nacho ni dili kubwa.. In fact kwasasa hakuna uchafu ambao sio hela labda kinyesi tuuVipi chuma chakavu ,kule zambia na malawi bado kinapatikana kama miaka ile ya nyuma au biashara ishaingiliwa na mikono ya serikali ,?
Vyote ulivyotaja hapo nina database ya masoko yakeMkuu sasa hivi Kila aina ya takataka ni Dili.
Box
Chupa za bia take away
Mifuko ya salfet iliyochoka.
Vifuu vya nazi
Chupa za maji
Lailoni
Tiketi za mwendokasi hizo, na risiti nyingine
Nk
Nikuchungulia fursa ujikite wapi tu.
Kinyesi mbolea babu. Inakaushwa.Chuma chakavu nacho ni dili kubwa.. In fact kwasasa hakuna uchafu ambao sio hela labda kinyesi tuu