Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

Nanukuu "mabaki ya tairi kwa watengeneza ndala yale yanaitwa maini, na kuna unga wa tairi toka viwanda vinavyofanya retrading. Bei ni kuanzia milion 100"

Kwa hali hii hayo maini na huo unga vitakuwa adimu sana kwa sasa.
Bei ya pyrolysis plant ndio inaanzia milion mia moja
 
Bei ya pyrolysis plant ndio inaanzia milion mia moja
Hapa ukitaka kuiona pesa ni kufunga mtambo wako , idea nzuri sana
Shukran kaka Mshana
Takataka ni mali
Na ukiangalia inawezekana tu ,kuna watu wana milioni zaidi ya mia ,
 
u nimeshangaa mkuu. kwahyo matairi yale tunayoenda kubadili huwa wanayauza tena.
Mkuu sasa hivi Kila aina ya takataka ni Dili.

Box
Chupa za bia take away
Mifuko ya salfet iliyochoka.
Vifuu vya nazi
Chupa za maji
Lailoni
Tiketi za mwendokasi hizo, na risiti nyingine
Nk

Nikuchungulia fursa ujikite wapi tu.
 
Hapa ukitaka kuiona pesa ni kufunga mtambo wako , idea nzuri sana
Shukran kaka Mshana
Takataka ni mali
Na ukiangalia inawezekana tu ,kuna watu wana milioni zaidi ya mia ,
Unaweza kupata mtambo mzuri tuu kwa chini ya hiyo bei.. Na uzuri ni kwamba hakuna kinachotupwa kwenye tairi
 
Mkuu sasa hivi Kila aina ya takataka ni Dili.

Box
Chupa za bia take away
Mifuko ya salfet iliyochoka.
Vifuu vya nazi
Chupa za maji
Lailoni
Tiketi za mwendokasi hizo, na risiti nyingine
Nk

Nikuchungulia fursa ujikite wapi tu.
Vyote ulivyotaja hapo nina database ya masoko yake

Back
Top Bottom