Maajabu ya undu Lissu na CHADEMA yake

Mataga bila kumtaja Lissu hawalipwi buku saba zao
 
Lisu ni mgombea pekee anapitia njia iliyojaa nyoka zenye sumu ya fira,siafu na kila aina ya miiba ya michengoma ila hatimaye ushindi. Mungu aendelee kumlinda mtu huyu na kuisafisha njia zake dhidi ya maadui zake
 
Huku mtaani watu hawana habari kabisa na lissu
Kuna wamoja jana wamevaa nguo za Chadema wakaishiwa kudhihakiwa niliwahurumia sana

Mtaa gani wewe unaishi? Labda kama uko nje ya nchi. Lakini hapa Tanzania lazima uwe mtaa wa shimoni au pangoni kujifanya huoni au husikii.

Na uko peke yako tu usiyeona wala kusikia..pole sana. Lakini ndio uhalisia. CCM wanaburuzwa!
 
Huku mtaani watu hawana habari kabisa na lissu
Kuna wamoja jana wamevaa nguo za Chadema wakaishiwa kudhihakiwa niliwahurumia sana
ni sahihi unachosema wengi mtaani wanaogopa kuzivaa,ukivaa tu nguo za chadema siyo kudhihakiwa tu unatafutwa na watu wasiojuilkana haraka sana,na kwa hali hiyo Lisu atangazwe asitangazwe ila watanzania wako radhi kuizika rasmi ccm oct28 kwa hasira kwenye box la kura
 
Aisee! Kuna ukichaa wa kisiasa kwa kweli,kuna watu wanaona vitu ambavyo wengine hatuvioni.
 
Ccm tupo tayari kumwaga nanii ili tuendelee kubaki madarakani.
 
Ndio mgombea ambae VIONGOZi wa serikali na CCm wanafuatilia hotuba zake kwa Siri Sana na zinawasisimua.
Hili ni kweli mkuu. Baba yangu mdogo ni kada na kiongozi wa ccm ngazi ya wilaya lkn simu yake imejaa clip za hotuba za Lisu. Sidhani kama anayo hata moja ya Magufuli.
 
Sawa
 
Amen.
 
Lisu ataishangaza dunia uchaguzi huu kama alivyo ishangaza dunia ktk ulimwengu wa tiba kwa kupona kifo baada ya kupigwa risasi 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…