Maajabu ya vyoo vya umma!

Maajabu ya vyoo vya umma!

Hizo TABIA hawaachagi,

Hadi kwenye family, unakuta baba mwenye nyumba haflash choo,

Alitoka chooni, ni KAZI ya mama kwenda kufanya usafi!!
Afu cjui n kwann watu wazima ndio wanaoongoza kwa uchafu chooni kuliko watoto.
 
Na walevi pia ni waharibifu sana,

Siku moja namkuta mtu anakojolea sink la kunawia,

Ninyi walevi ninyi!!
 
Unaweza pull mlango ukakuta umefungiwa,

Baada ya dakika kadhaa, anatoka mtu msafi kavaa coat vizuri kabisa,

Ukiingia ndani ya choo, unakuta hajaflash!!

Wazazi tufundishe watoto wetu Hasa wa kiume,

Ni wachafu sana.
Hili ni kweli, watoto wa kiume ni wachafu kwa asilimia kubwa.
 
Nakumbuka nilikuwa nchi X ambayo watu wake hupenda kutumia toilet paper chooni, sasa choo kikawa kimeziba na mizigo haiendi wakaniita mjuba na kusema choo kina shida, kufika pale nikawaambia nileteeni maji kama lita 20 na broom stick, mjuba nikamwaga maji nikaingiza lile gongo na kukoroga kama nimeweka sukari kwa kijiko kwenye kikombe cha chai. Nilivyokuwa nakoroga jamaa walibaki "You you are very baaaaad" dakika 3 choo kiko fresh kama kawaida
 
Huwa inashangaza unakuta hata vyoo vya ofisi za umma ambapo wote wanaovitumia ni watu wazima ni vichafu ajabu.
Hizo TABIA wametoka nazo utotoni, majumbani mwao,
Nakumbuka nilikuwa nchi X ambayo watu wake hupenda kutumia toilet paper chooni, sasa choo kikawa kimeziba na mizigo haiendi wakaniita mjuba na kusema choo kina shida, kufika pale nikawaambia nileteeni maji kama lita 20 na broom stick, mjuba nikamwaga maji nikaingiza lile gongo na kukoroga kama nimeweka sukari kwa kijiko kwenye kikombe cha chai. Nilivyokuwa nakoroga jamaa walibaki "You you are very baaaaad" dakika 3 choo kiko fresh kama kawaida
Hukukuta mawe?
 
Back
Top Bottom