Mada ya hovyo hii.
Hivi hujui kama hao waliomchangia raisi ni makada wa CCM?
Hata wakiwa walimu ila ajenda zao haziwakilishi walimu tena unaweza ukakuta kutengeneza hiyo script wao ndio wamepewa pesa.
Hizo ni propaganda tu kisiasa.
Halafu haiwezekani walimu wakose viti, Kwa miezi ya karibuni hakuna ajira mpya zilizotoka, hivyo walikiwa hawana viti tangu mwezi wa saba mwaka jana??
Kama viti vimeharibika wameshindwa hata kuchukua madawati ya wanafunzi??
Wameshindwa hata kutengeneza vyao ambapo gharama ya kiti hata 30,000 unapata