Binadamu wote tupo sawa.. Tukipata kitu na tukakizoea, tunakiona cha kawaida na kinachofuata ni tamaa za kuamini kuna kitu kizuri zaidi. wanawake sio exceptional ni binadamu na huwezi kuwaondolea ubinadamu wao, mila zetu tu ziliwabana ila kwa sasa ni uhuru wa kutosha. tarajia zaidi
Kwahiyo hapo wewe unajiona unajitambua? Shabbaby? Kidume? Rijali? Au vipiNimeamini aisee, wiki 2 zilizo pita nimegegeda mke wa mtu kwa sababu tu nilienda kumuona Hospital akaniona namjali sana wakati sikutoa hata mia yangu mbovu kuchangia matibabu yake, yote amegharamiwa na mume wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Naona hapa tunatishwa tusipewe zawadi tu hawana lolote🤣
Huo ndio uwongo wenyewe kauzungumzia Mitoa mada,lazima muongopewe ili mtoe mutoe jigijigiWanawake tupo tunawaangalia tu! Mkitoka hapa mnakuja kulialia kwetu ooh siwezi kuishi bila wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada Kaa ukitambua kua sikuzote "Hakuna mtu mjinga Duniani ".kila mtu anafanya jambo kwa malengo kamasio yamuda mrefu basi ya mudamfupi[emoji509][emoji509][emoji511][emoji489][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Naona hapa tunatishwa tusipewe zawadi tu hawana lolote[emoji1787]
Hawana lolote hawa! Tatizo la kutowaelewa ni kwamba wapo kama bendera vifuata upepo. Muda wowote hubadili mwelekeo. Upepo ukielekea mashariki nao huko huko, magharibi twende n.k n.k..
Dada Kaa ukitambua kua sikuzote "Hakuna mtu mjinga Duniani ".kila mtu anafanya jambo kwa malengo kamasio yamuda mrefu basi ya mudamfupi[emoji509][emoji509][emoji511][emoji489]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea wakati huo yupo katk harakati zipi hahhahhahahaPapuchi yao yenyewe haileweki imekaa wapi akiinama ipo nyuma ,akichuchumaa ipo katikati akisimama inakuja mbele.hawa watu hawaeleweki kwakweli
Utashangaa mwanamke ukimfanya taratibu na kwa heshima, akija kugawa kwa lijitu lingine ambapo linafanya kwa fujo kama ugomvi ndiyo analipenda hilo lijamaa kuliko wewe mwenye kufanya kwa taratibu na heshima