Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Wakichina wa zamani labda kabla ya Mao tse tung na wakati wa utawala weke. Lakini baada ya kukaribisha ubepari ni shida sana, muulize balozi wan ke
 
Binadamu sio kama mnyama, binadamu ni mnyama. Au ulisoma KLF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu ni kwamba mwanamke huyo huyo ambaye baba ako hamuamini asilimia zote wewe unamuita MAMA na kumuamini 100%....
Hii imekua kama silaha ya wanawake wengi pindi ambapo m'mekua mkiambiwa ukweli

Ieleweke kwamba hata mama yangu naye ni mwanamke hivyo sioni sababu ya kutohusika na hili tatizo
 
Nimeamini aisee, wiki 2 zilizo pita nimegegeda mke wa mtu kwa sababu tu nilienda kumuona Hospital akaniona namjali sana wakati sikutoa hata mia yangu mbovu kuchangia matibabu yake, yote amegharamiwa na mume wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora we kumuona hospitali kuliko aliyemtunuku msela mwili wake kisa kusajiliwa line yake kwa kutumia namba ya nida ya mchizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…