Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Hahaha...mkuu afadhali wewe unawaelewa japo kiduchu.

Sijui wanapenda usichokuwa nacho...sijui labda wanajijua wenyewe.
 
Pole sana mkuu ... tuko pamoja
 
Tuliomegewa mademu zetu kimasihara huu uzi unatuhusu, i can feel the pain 😤. Nayakumbuka maneno ya mzee wangu,

"Mwanamke sio kiumbe wa kumchunga, mwanamke akiamua kukusaliti ana njia zaidi ya elfu kufanya hivo, mwanamke unaweza kwenda nae hata bar, kitendo cha kuinuka na kwenda msalani huo muda unamtosha kabisa kukuzunguka na kugawa utamu kwa mtu wake."
Kikubwa tuishi nao kwa akili, usije ukamuwekea guarantee kabisa, ishi maisha yako lakini jua yule ni kiumbe kama viumbe wengine chochote kinaweza kutokea kwa muda wowote.
 
Write your reply...mademu wanachanganya sana anamtaka boss,boss akimuoa baadae analiwa na masai anaemfungulia geti,noma sana
 
Halafu unaanika upumbavu wako hapa. Subiri nawewe karma is for real. Aidha watamgegeda wa kwako au utazaa watoto malaya.
Si mpaka ajue hata wewe unayejifanya mtakatifu wako anamegwa ila ni kuwa haujui tu.
 
Mnapewa VX lkn bado unamthamini aliyekupa mafuta ya 20,000
 
Nilishangaa kidogo nilivo soma title kuwa "wanawake ni viumbe wa ajabu" lakini nilivo zama ndani ndo nimeelewa na nakuamini.
#Usijaji kitabu kabla hauja kisoma ndani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno 'hupendi', 'hupenda', hapendi' kila yalipostahili kutumiwa, umeyatumia ndivyo sivyo katika uandishi wa thread yako na kuleta mkanganyiko mkubwa sana kwenye uelewa.

Hii imetokana na nini kukosea kona zote za uzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hujawahi kumega mademu za watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…