Maajabu ya wanawake yaliyowashinda hata wana falsafa kuelewa

Na n
Usimnunulie mke BMW bali uwe unampa elfu 20 ya supamaketi
Na nikimpa elfu 20 alafu akiwa njian akielekea supermarket akapewa lift na jamaa mwenye BMW huoni kwa advantage hyo anaweza akapigwa mbupu
 
Na n

Na nikimpa elfu 20 alafu akiwa njian akielekea supermarket akapewa lift na jamaa mwenye BMW huoni kwa advantage hyo anaweza akapigwa mbupu
Kwa mujibu wa mleta mada... wanaotombewa ni walionunua maBMW. Na wanaofanya huo uzinzi ni wanaotoa buku 20. Hebu kamsome vizuri uone
 
Kwa mujibu wa mleta mada... wanaotombewa ni walionunua maBMW. Na wanaofanya huo uzinzi ni wanaotoa buku 20. Hebu kamsome vizuri uone
Kwa hyo wanaotombe.wa ni matajiri?
Kama ndo hivyo ni bora nibakie kapuku ili niwapige mbupu wake za hao wenye BMW
 
mkuu umeelezea vizuri baadhi ya udhaifu wa wanawake. Lakini wapo wanawake ambao wakotofauti kabisa na haya uliyoyasema, kuna wanawake ni wapambanaji, wavumilivu na wenye heshima ya ajabu.

Wapo ambao pamoja na kutelekezwa na waume zao au kufiwa na waume zao, wameweza kulea na kusomesha watoto wao mpaka wamefikia hatua ya kujitegemea.

Mwanamke ni ardhi, mbegu hupandwa na kumea ndani yake. Mwanamke ndiye anaeanzisha maisha ya binadamu yeyote, amepewa uwezo wa kubeba ujauzito na kujifungua, hakuna mwanaume mwenye uwezo huo.

Hivyo basi, pamoja na madhaifu yao wamekuwa na mchango mkubwa katika kuiumba jamii, kuilea na kuistawisha.

USHAURI: Ni muhimu kuoa mwanamke anakupenda, aliye tayari kuwa na wewe. Siku hizi tunahangaika sana na wanawake tunaowapenda na kutuvutia, ndio maana ndoa hazidumu.
 
Is, kumjua adui ni nusu ya ushindi.
Nimekuelewa, japo.... Akili za kuambiwa changanya na zako.
SWALI: Kwahiyo nifanye nini ili niweze kuyaepuka hayo?
Je nisioe, nisiwe na mchumba au nisijihusishe na mahusiano na mwanamke yoyote yule?
 
kwanini uhangaike na mtu ambaye hata baba yake mzazi kamshindwa,akaamua kumbadilisha na ng'ombe!!yaani baba kaona bora aishi na ng'ombe kuliko mtoto wake wa kike,halafu wewe unavimba tena unamwita "MAMA"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Hapo huwa tunasema bora liende Lakin kwa tahadhari ya ukubwa wake
 
Mkuu naunga mkono hoja kwa 100%;
Hushangai Pale Eden wali kuwa na kila kitu, Adam aliumbwa mkamilifu kabisa maisha mazuri, hakuna story za pungufu lolote mwilini wala kiuchumi, lakini sasa dadeki "Eva" kala tunda haha haha, hawa viumbe hawana mswalia Mtume, kikubwa ishi nao kwa hekima.
Kanuni ya maisha kwa mwanamke uishipo naye usikubali akuendeshe, hataki jambo lako apite hivi, utayafurahia maisha sana.
.
 
Mkuu,mshangao wako na maswala yako umejijibu mwenyewe katika huu Uzi wako..

Mkuu,mwanamke is a center of attention.. Mwanamke yeyeote hapa Duniani anahitahi attention..

Wanaume wengi wanafikiria kumsugua mwanamke,kutumia mkongo na mambo mengine ndio kumdhibiti mwanamke kimapenzi nk.mwisho wake mwanamke anatafuta bwege anaempa Attention

Kuna wanaume wanaohonga magari ya fahari,nk, lakini mwisho wake bwege kama Mimi hohe hahe,apeche Lolo,Sina kitu mfukoji namchukua mtoto kirahisi kwa ukarimu wangu na maneno yangu matamu,.

Mkuu,..Msifu,muonyeshe Kama unampenda,mtunze Kwa maneno matamu,muonyeshe kuwa yeye ni kitu Bora kwako hakijawahi kutokea,ukifanya hivyo mwanamke hawezi kukuacha au kubabaika na vitu vya kipuuzi..atabangaiza anakobangaiza atakuletea wewe..

Mark my words,women they don't need big di..k , material things etc,they need love and attention..
 
Hahahahaaaaa! Mleta Uzi ni kweli kabisa uliyoandika! Yaani wanawake ni janga la taifa!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…