lengo ni kuchanganya watanzania but God is good wamestukaHabari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Membe na ACT kuna jambo haliko sawa. Labda Membe alipewa masharti ya kuingiza mshiko wa nguvu ndio aanze kampeni, yaonekana Membe alijipima akangamua hawezi kushinda uchaguzi akazuga kwenda Dubai na kurudi mikono mitupu.Namhurumia sana Membe, nauhurumia sana upinzani. Je, ni Membe huyu aliyefuatwa Rondo na kupokelewa na chama kwa shangwe?! Leo hii anatupwa na kudhihakiwa?...
Sawa sawa Nabii TITO.Viongozi tulieni kidogo tuiundoe kwanza CCM.
Haya Zitto tulimtahadharisha lakini hakusikia, wacha wapambane na hali yao!Jasusi is there to stay
Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere marando 1995~2000
Siku nyingine CCM ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
Chadema wanajikaza tu lakini wana hali mbaya sana.Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Juzi kati Dkt. Magufuli alikuja kuwaomba kura watu wa mitandaoni lakini walimnyima. Sasa sijui uko na maoni gani?Uwaneni,piganeni,chambaneni ila Magufuri anashinda kwa asilimia nyingi mnooo....
Ccm iliyumba wakati wa lowassa.
wapiga kura Og wako nje ya mitandao,vijijin ndo usiseme kura kama zote
Tunaopiga kelele ni huku mitandaoni kwa Id fake tena nyuma ya keybo'd .
Umeshaona hata mgombea mmoja wa Chadema karukwa akili jukwaani?Chadema wanajikaza tu lakini wana hali mbaya sana.
Yule aliyesema watanzania wanalishwa na Mabeberu yupo sawa?Umeshaona hata mgombea mmoja wa Chadema karukwa akili jukwaani?
Membe ndio mkorofi, ameshindwa kufanya kampenj angetulia tu kusinge kuwa na maneno!Maalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
Unahangaika kumjibu Choko.Umeshaona hata mgombea mmoja wa Chadema karukwa akili jukwaani?
Chadema kumpokea Lowasa lilikuwa ni kosa kubwa sana.Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Mbowe na genge lake hawezi shinda milele.Ajenda ya Membe inajulikana....
Lkn mipango inakwenda vzr kama ilivyo pangwa.
Magufuli kwaheri
Chadema kumpokea EL lilikuwa kosa?Chadema kumpokea Lowasa lilikuwa ni kosa kubwa sana.
ACT kurudia kosa lile lile la Chadema is nothing but insanity.
Membe hana nguvu yoyote ACT labda huko ccm alipotoka.Jasusi is there to stay
Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere marando 1995~2000
Siku nyingine CCM ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
Membe hana nguvu yoyote ACT labda huko ccm alipotoka.
Baada ya uchaguzi atarudi alipotoka kwa aibu kuu
Eti hawa ndio wanaamini wataiondoa madarakani CCM iliyo pamoja zaidi ya kipindi chochote cha karibuni. Ahahahahahahahha! Wacha nicheke kwa dharau!!!Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.