Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

Namhurumia sana Membe, nauhurumia sana upinzani. Je, ni Membe huyu aliyefuatwa Rondo na kupokelewa na chama kwa shangwe?! Leo hii anatupwa na kudhihakiwa?...
Membe na ACT kuna jambo haliko sawa. Labda Membe alipewa masharti ya kuingiza mshiko wa nguvu ndio aanze kampeni, yaonekana Membe alijipima akangamua hawezi kushinda uchaguzi akazuga kwenda Dubai na kurudi mikono mitupu.

Nadhani walipogundua anapiga danadana wakamtosa.
 
Jasusi is there to stay

Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere marando 1995~2000

Siku nyingine CCM ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
Haya Zitto tulimtahadharisha lakini hakusikia, wacha wapambane na hali yao!
 
Uwaneni,piganeni,chambaneni ila Magufuri anashinda kwa asilimia nyingi mnooo....

Ccm iliyumba wakati wa lowassa.
wapiga kura Og wako nje ya mitandao,vijijin ndo usiseme kura kama zote
Tunaopiga kelele ni huku mitandaoni kwa Id fake tena nyuma ya keybo'd .
Juzi kati Dkt. Magufuli alikuja kuwaomba kura watu wa mitandaoni lakini walimnyima. Sasa sijui uko na maoni gani?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Leo nizungumzie jambo moja ambalo binafsi naona ni tatizo kwa sasa.

Chadema ni chama kikubwa sana na kina wafuasi wengi, ila nathubutu kusema wafuasi/mashabiki wa chadema na upinzani humu mitandaoni ni tatizo kubwa sana.

Wote tunakumbuka humu kila ilipoitwa leo zilijazwa thread za kumsifia Membe kwa kila alichofanya na kusema, lakini sasa hivi wamemgeuka na kumuita pandikizi.

Hii tabia wameifanya kwa watu wengi sana ila kwa Membe naona sasa sio fair kabisa.

Kumbuka kuwa Membe ni binadamu na mwanasiasa hivyo kama hapitii maoni ya mitandaoni basi kuna watu wake wa karibu wanapitia na hivyo taarifa anazipata.

Pengine baada ya kuona upepo wake humu mitandaoni unavuma vizuri aliamua kufanya alichofanya na kujitosa kugombea Urais bila kujua watu wengi wa mitandaoni ni wa kupelekwa na upepo.

Nakumbuka kule twitter Membe alibatizwa jina la."role model" na vijana wa huko, ila sasa hivi matusi anayotukanwa huwezi amini.

Ilifikia kipindi Membe akiweka hata post/tweet ya kawaida tu kule twitter basi zitakuja comments nyingi sana za kumsifia na kumtukuza kwa kila namna kwa maneno yote matamu.

Membe amefanya ambayo nyie wenyewe mlikuwa mnatamani, kwa nini sasa hivi mumtukane? Sio fair.

Hii tabia nashauri washabiki wenzangu tuiache, ipo siku, nasema ipo siku huyu mgombea fulani naye yatamkuta. Ukitakana kujua hilo angalia aliyegombea mwaka 2010, 2015 yanayomkuta huko mitandaoni kwa kutukanwa kwa watu wale wale waliokuwa wanamtukuza kwa kila aina ya maneno matamu.

Hapa chini nimeweka link thread moja humu ambayo ilikuwa na comments zaidi ya 3000 kuhusu membe mwaka 2018, angalia vijana wa chadema wakimsifia membe kwa kila aina ya neno tamu
Uchaguzi 2020 - Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania
Hapa nimeweka picha za tweet zake huko twitter, ona wale watu walivyokuwa wanamtukuza
View attachment 1606246
 
Maalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
Membe ndio mkorofi, ameshindwa kufanya kampenj angetulia tu kusinge kuwa na maneno!
 
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.

Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Chadema kumpokea Lowasa lilikuwa ni kosa kubwa sana.

ACT kurudia kosa lile lile la Chadema is nothing but insanity.
 
Chadema kumpokea Lowasa lilikuwa ni kosa kubwa sana.

ACT kurudia kosa lile lile la Chadema is nothing but insanity.
Chadema kumpokea EL lilikuwa kosa?
Mbona tulikuwa tunawaambia mkawa mnatuita buku 7?

Hata Membe juzi tu hapa tulikuwa tunawaambia mkawa mnasema tunaona wivu, Membe jasusi kawavuruga ccm, akiguswa ananuka, haya kiko wapi sasa?

Mkome kushobokea mambo ya wana ccm!
 
Jasusi is there to stay

Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere marando 1995~2000

Siku nyingine CCM ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
Membe hana nguvu yoyote ACT labda huko ccm alipotoka.
Baada ya uchaguzi atarudi alipotoka kwa aibu kuu
 
Hata Lipumba tuliambiwa hana nguvu lakin mwishowe wenye nguvu ndio walikimbia Nyumba

Kama kweli Maalim anasema Kamati kuu walikubaliana wamuachie Lissu na bado Membe amekaza, kwa ubabe wa Maalim si angemfuta uanachama mara moja?

Membe hana nguvu yoyote ACT labda huko ccm alipotoka.
Baada ya uchaguzi atarudi alipotoka kwa aibu kuu
 
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.

Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Eti hawa ndio wanaamini wataiondoa madarakani CCM iliyo pamoja zaidi ya kipindi chochote cha karibuni. Ahahahahahahahha! Wacha nicheke kwa dharau!!!
 
Hakuna mgogoro hapo wanawazuga ccm tu na wale wagumu wa kuelewa bt lao ni moja hawa tusubiri tu tarehe 27 membe akahitimishe kule mbagala
 
Back
Top Bottom