digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Nyie si ndo mlisema kachelo mbobevo kaeachenga NEC, au umesahau?Huyo Membe since day one nilijua ametumwa na CCM. Nilisema kabisa inyeshe mvua liwake jua, CHADEMA wasikosee wakajiunga na Membe na kufanya naye vikao vya siri. Hata Nyalandu ni wa kumuweka pembeni kwenye vikao vya siri vya CHADEMA. Haya ya Membe yanaanza kuwa wazi, uzuri ni kuwa wananchi wameshafanya maamuzi, vinginevyo ingekuwa tatizo hizi dakika za lala salama.
Nyie si ndo mlisema kachelo mbobevo kaeachenga NEC, au umesahau?
[emoji23]eti nauli 400 [emoji23]Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
Pengine hii ni feki na propaganda. Seif kaisemea wapi?Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Hapa umeonesha rangi yako halisi kuwa wewe sio mpizani bali ni taga,ni vigumu mno kujificha mkuuKwa nini usuburi mpaka uchaguzi upite? Tunataka kujua sasa ili tuamue kuwapigia kura au tusiwapigie
Wacha waendelee kutupiana maneno, tujue kama tuna wapinzani wa kweli
Wanasiasa wanazidiana upuuzi tu na mavyama yenu hayo mnayoshabikia.......upumbavu kama huo wa aisiti nikutokuwa na mwelekeo.....Hakika mkuu.View attachment 1606903
Baada ya kupatikana Baba Lao, yaani TL ndo wamebaini kuwa kumbe Membe hatoshi, hauziki, wala hakubaliki kwa viwango vya TL. Ni suala la hesabu tuuMaalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
Hakika mkuu.Wanasiasa wanazidiana upuuzi tu na mavyama yenu hayo mnayoshabikia.......upumbavu kama huo wa aisiti nikutokuwa na mwelekeo.....
Pengine nyongo yake imetibuka baada ya kuona ndoto zake za kuwa rais zimezimika.Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
Umechelewa mkuu.. Kura zoote ni kwa Lissu. Pombe atapigiwa na diamond na harmonise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapinzani hawajawahi kuwa serious!
Kura zote kwa Magu, hawa wazee wa Amsterdam tuwaacheni jinsi walivyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Lisu hatapata hata 20%Umechelewa mkuu.. Kura zoote ni kwa Lissu. Pombe atapigiwa na diamond na harmonise
Kweli kabisa. Aishie kwny ubunge tuuHata Nyalandu ni wa kumuweka pembeni kwenye vikao vya siri vya CHADEMA
Ni kweli.. hiyo 20% ndo atapata mh. Pombe[emoji23][emoji23][emoji23]Lisu hatapata hata 20%
Nashangaa watu wanashindwa kuelewa mkakati huo wakati hata mtu mwenye akili sawa na mgambo anaweza jua kuwa CDM, ACT, Membe, Lissu, Shariff & other kingmakers wana lao jambo moja ili kuikwepa sheria ya vyama kufanya muungano usio wa kisheria.Hakuna mgogoro hapo wanawazuga ccm tu na wale wagumu wa kuelewa bt lao ni moja hawa tusubiri tu tarehe 27 membe akahitimishe kule mbagala
Mambo ya K.Membe yanikumbusha sakata LA aliyekuwa Meya wa Dar kwa tiketi ya CHADEMA - Mara tuna ambiwa kakataa kukabidhi Funguo za ofisi, Mara eti haonekani mara kanyanganywa gari la ofisi, mara... yaani maigizo mwanzo mwisho!!Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!