Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

Uchaguzi 2020 Maalim Seif: ACT Wazalendo hatuna mpasuko lakini Membe anataka kuwaaminisha Watanzania hivyo. Adai Mzee wa Ubwabwa ni bora kuliko Mgombea wao

Huyo Membe since day one nilijua ametumwa na CCM. Nilisema kabisa inyeshe mvua liwake jua, CHADEMA wasikosee wakajiunga na Membe na kufanya naye vikao vya siri. Hata Nyalandu ni wa kumuweka pembeni kwenye vikao vya siri vya CHADEMA. Haya ya Membe yanaanza kuwa wazi, uzuri ni kuwa wananchi wameshafanya maamuzi, vinginevyo ingekuwa tatizo hizi dakika za lala salama.
Nyie si ndo mlisema kachelo mbobevo kaeachenga NEC, au umesahau?
 
Nyie si ndo mlisema kachelo mbobevo kaeachenga NEC, au umesahau?

Pitia popote nilipowahi kumsifia Membe ukipaona nipigwe ban ya mwaka. Kwangu Membe na Lowassa ni wazee matapeli wa siasa kama matapeli wengine.
 
Lissu aapa kuivunjilia mbali Tume ya Uchaguzi na kuijenga upya ili uwe Tume huru kwelikweli.
 
Ndege wa aina moja huruka pamoja,Seif ameona kuwa siasa za membe ni za kistaarabu hivyo itakuwa ngumu kwa seif kutimiza nia ovu ya kuvuruga amani ya wazanzibar ,ili atimize nia ovu alokuwa nayo lazima aungane na muovu mwenzake lissu ili kuwapatisha taabu watanzania.

Amini nawaambia kamwe lissu na maalimu hawatatimiza nia ovu walizokuwa nazo
 
Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
[emoji23]eti nauli 400 [emoji23]
yani ingekuwa buku kidogo angelalamika kwamba nauli ni nyingi hana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini usuburi mpaka uchaguzi upite? Tunataka kujua sasa ili tuamue kuwapigia kura au tusiwapigie
Wacha waendelee kutupiana maneno, tujue kama tuna wapinzani wa kweli
Hapa umeonesha rangi yako halisi kuwa wewe sio mpizani bali ni taga,ni vigumu mno kujificha mkuu
 
Wote huu ni ujinga tu,chama kinachojitambua na kilicho taasisi hakijiendeshi kijinga jinga hivi
 
Achana na Membe. Anatafuta Kiki binafsi baada ya kampeni kubuma. Alidhani sura yake pekee itamuuza. Kumbe amedanganyika. Hata Rondo kijijini kwake hawana habari naye tena. Kilichobaki ni kutompigia kura maana jina lake lipo kwenye ballot paper. Kura zote ziende kwa LISSU.
 
Kachero Nuka sasa huku ACT kwa maana kwa CCM ulishindwa baada ya jamaa kuziba njia ya ushuzi.

Hao unawamudu isitoshe una-backup ya msajili na NEC kwa sasa.

Anzisha "seleka" washinde kwenye press kila siku badala ya kampeni.

kilichokutoa CCM siyo urais tu bali urais wa 2020 haiwezekani wakufanyie uhuni kirahisi hivyo wakati umepoteza vingi tayari kwa kuhama CCM pekee.
 
Maalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
Baada ya kupatikana Baba Lao, yaani TL ndo wamebaini kuwa kumbe Membe hatoshi, hauziki, wala hakubaliki kwa viwango vya TL. Ni suala la hesabu tuu
 
Wanasiasa wanazidiana upuuzi tu na mavyama yenu hayo mnayoshabikia.......upumbavu kama huo wa aisiti nikutokuwa na mwelekeo.....
Hakika mkuu.
Ej4FXAyWoAAPxtC.jpg
 
Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
Pengine nyongo yake imetibuka baada ya kuona ndoto zake za kuwa rais zimezimika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapinzani hawajawahi kuwa serious!

Kura zote kwa Magu, hawa wazee wa Amsterdam tuwaacheni jinsi walivyo
Umechelewa mkuu.. Kura zoote ni kwa Lissu. Pombe atapigiwa na diamond na harmonise
 
Hakuna mgogoro hapo wanawazuga ccm tu na wale wagumu wa kuelewa bt lao ni moja hawa tusubiri tu tarehe 27 membe akahitimishe kule mbagala
Nashangaa watu wanashindwa kuelewa mkakati huo wakati hata mtu mwenye akili sawa na mgambo anaweza jua kuwa CDM, ACT, Membe, Lissu, Shariff & other kingmakers wana lao jambo moja ili kuikwepa sheria ya vyama kufanya muungano usio wa kisheria.

Na kweli wameshawakwepa mfano ni wapi umesikia msajili analalamikia huo muungano wao usio rasmi lakini kwenye majukwaa wanadai Rais ni Tundu Lissu na Zenj ni Seif Sharif Hamad, issue ya Membe ipo well planned toka mwanzo na inaendelea unono kwa yeye ku create chaotic atmosphere inayolenga kuwavuruga Ofisi ya msajili na Tume ya uchaguzi huku wenzake wakisonga mbele
 
Ninachojiuliza ni kwamba, Membe yupo hapo Dar. inamchukua gharama gani kwenda kuwanadi hata wagombea ubunge wa chama chake hapo Dar? Maana nauli ni sh. 400 kutoka anapoishi hadi kwenye mikutano ya kampeni!!!
Mambo ya K.Membe yanikumbusha sakata LA aliyekuwa Meya wa Dar kwa tiketi ya CHADEMA - Mara tuna ambiwa kakataa kukabidhi Funguo za ofisi, Mara eti haonekani mara kanyanganywa gari la ofisi, mara... yaani maigizo mwanzo mwisho!!

Niliwambia rafiki zangu kwamba hapo kuna kitu kinasukwa si bure!! Na kweli - hivi sasa huyo jamaa yuko wapi? Naona na ya Membe yanafuata mkondo huo huo, MTU haoekani majukwaani akijinadi vile na kuwapigia kampeini wabunge na madiwani wa chama chake, anahibuka at the eleventh hour na kuzuga Watanzania eti atafanya kampein at hypersonic speed na kushinda kiti cha Urais, aliongezea kwa kusema sio lazima yeye kuzunguka Tanzania nzima akijinadi kwa kuwa anajulikana!
 
Back
Top Bottom