digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Nyie si ndo mlisema kachelo mbobevo kaeachenga NEC, au umesahau?Huyo Membe since day one nilijua ametumwa na CCM. Nilisema kabisa inyeshe mvua liwake jua, CHADEMA wasikosee wakajiunga na Membe na kufanya naye vikao vya siri. Hata Nyalandu ni wa kumuweka pembeni kwenye vikao vya siri vya CHADEMA. Haya ya Membe yanaanza kuwa wazi, uzuri ni kuwa wananchi wameshafanya maamuzi, vinginevyo ingekuwa tatizo hizi dakika za lala salama.