The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Ndiyo maana yake hiyo. Toka mwanzo walisema watamuunga mgombea mwenye nguvu. Kwa Sasa mgombea huyo ni Lissu.Kumbe! Basi wana ACT wote tusepe na Lissu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana yake hiyo. Toka mwanzo walisema watamuunga mgombea mwenye nguvu. Kwa Sasa mgombea huyo ni Lissu.Kumbe! Basi wana ACT wote tusepe na Lissu.
Hakuna muda huo..waache wagombane mpaka wapate ufumbuzi Nani ni Nani..waje baada ya tarehe 28 tuonane..ugomvi wao wasubiri baada ya uchaguzi.
..muda huu utumike kuwatafutia kura Maalim Seif, Tundu Lissu, wabunge, na madiwani wetu.
Hehe..mnatufurahisha..mafahari wawili hawakai zizi moja..mlikuwa na mbweeeembwe Kama mmepata kumbe mmepatiFedha za Kampeni za Membe zimedhibitiwa Airport akitokea Dubai na wasaidizi wake wamekamatwa!
Sasa hizo kampeni atafanyaje peke yake bila ya sapoti ya secretariet ya ACT?
Lipumba mara zote za uchaguzi alikuwa anasimama kwa miguu yake na wajanja wenzie wa mjini, pesa zote za kampeni mnapeleka Znz kunajisi Mapinduzi mnataks Jasusi afanyaeje?
Ndio maana prof Lipumba alimfukuza CUF, amebaki ana hanghang akaonewa huruma na ZitoMaalim mkorofi sana huyu babu,kaingia ACT juzi tu keshaanza migogoro,kwanini walimpa baraka zote Membe za kupeperusha bendera ya Urais ilhali wanajua kabisa hafai!?
yes, kwa muda huu anyamaze/angelinyamaza kusudi tumpige nyoka kwanza..Maalim Seif angenyamaza tu.
..sasa hivi hatutaki malumbano baina ya viongozi wa act.
Membe katumwa na CCM, makosa ya Mbowe 2015Mwenyekiti wa Act taifa anaongea na wanahabari jijini Dar es salam
--
Nimesikitika sana kwa aliyoyazungumza ndugu yangu Bernard Membe, ACT-Wazalendo kupitia mkutano mkuu wa Taifa ulisema tunataka mabadiliko, mkutano mkuu ukatoa mamlaka kwa uongozi ili kuhakikisha tunashirikiana na vyama vya wenzetu ambavyo ni makini....
CDM wameshashitukaJasusi is there to stay
Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere marando 1995~2000
Siku nyingine Ccm ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
Tunahama tunamwachia chama na kuunda kipya kama tulivyomwachia Lipumba.Jasusi is there to stay
Uchaguzi ukimalizika anaukurupusha mgogoro kama wa NCCR ya Mrema na Mabere Marando 1995~2000
Siku nyingine CCM ikigombana na wanachama wake wapinzani wapunguze shobo
"Jasusi mbobezi" busy akikamilisha kazi aliyotumwa na chama chake. Ni kweli kuwa Zitto hajajifunza toka CHADEMA na Lowassa 2015 au ndio ule ule "umamluki" uliomfukuzisha CHADEMA na yeye yupo kazini?
Maalim Seif ametoa kauli hiyo leo Oktoba 20, 2020 Jijini Dar es Salaam, wakati akiongea na vyombo vya habari, ambapo amesema kuwa msimamo wa kumuunga mkono mgombea urais wa CHADEMA Tundu Lissu, ulitolewa na chama cha ACT-Wazalendo na wala sio wa kiongozi mmoja mmoja.Maalim Seif na Bernard Membe
kwhyo unatakaje? Sisi wapiga kura tupo upande wa Lissu na Maalim.Membe alipitishwa na kamati kuu na mkutano mkuu wa chama Hivyo vikao havikufanyika hadi leo..
Wewe unaejitambua kuwa mpinzani basiWapinzani nchi hii hawajitambui na itawachukua miaka mingi sana kujitambua
Hela gani za kampeni unazungumzia mbona Maalim Seif na Zitto wanapanda jukwaa moja, kwanini yeye ,asionyeshe ushirikiano wa kupanda jukwaani hata mara moja, Membe ni garasa tuFedha za Kampeni za Membe zimedhibitiwa Airport akitokea Dubai na wasaidizi wake wamekamatwa!
Sasa hizo kampeni atafanyaje peke yake bila ya sapoti ya secretariet ya ACT?
Lipumba mara zote za uchaguzi alikuwa anasimama kwa miguu yake na wajanja wenzie wa mjini, pesa zote za kampeni mnapeleka Znz kunajisi Mapinduzi mnataks Jasusi afanyaeje?
Mshindi wa Urais wa Zanzibar huko nyuma huamuliwa na kura zisizozidi elfu 20 hivi na ubunge/ udiwani kura elfu 3 au chini kidogo. Sasa Maalim anapowachochea wafuasi wake wafanye vurugu tarehe 27, je haoni kuwa wakikamatwa hata watu elfu 10 tu itampunguzia kura tarehe 28 hivyo kumkosesha ushindi kama ilikuwa ashinde au hata ubunge/ uwakilishi?Mwenyekiti wa Act taifa anaongea na wanahabari jijini Dar es Salaam
--
Nimesikitika sana kwa aliyoyazungumza ndugu yangu Bernard Membe, ACT-Wazalendo kupitia mkutano mkuu wa Taifa ulisema tunataka mabadiliko, mkutano mkuu ukatoa mamlaka kwa uongozi ili kuhakikisha tunashirikiana na vyama vya wenzetu ambavyo ni makini...
Habari wana jf, maalim seif ameongea na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la membe huku akimtolea maneno makali sana.
Nimeshindwa kushangaa, leo hii maalim seif unasema membe katumwa? Mbona siku ya kumpitisha pale chamani kuwa mgombea uraisi ulimsifia sana?
Membe unalo la kujifunza, pole sanaView attachment 1605967View attachment 1605968View attachment 1605969View attachment 1605971
Kitu nilichojifunza ni kuwa,ukikuta mtu ni muislamu kweli kweli huwa hawaogopi kusimamia ukweli. Seifu asingekuwa muumini kweli Kweli wa imani yake angekuwa ashanunuliwa na CCM kwa gharama kubwa. Hivi sasa watu wanaoshikilia upinzani Tanzania ni Seifu na Mbowe pekeeSafi kabisa Maalim, kama joka la kibisa linaleta za kuleta kinyume na makubaliano ya vikao ambavyo na yeye alikuwepo, hamna haja ya kumumunya maneno - mpasue hadharani asije waingiza choo cha kike wkt mkikaribia kufikia malengo ya kuing'oa ccm Bara & Visiwani!