Maalim Seif akana kuitwa msaliti kwa kukubali SUK asema sio kila jambo unasusia!

Nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM walivyokuwa wengi,unyumbu ni kusahau mateso yaliyowapata wazanzibar na kuendekeza njaa binafsi
Nyumbu ni Chadema mmeshikiliwa akili zenu, bure kabisaa
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Bora umekubali kuwa mi wa kuja hujui chochote,unadandia treni kwa mbele
Wakuja nyerere ndiyo alileta uhuru wa Tanzania hata wazungu ni wakuja pia mwenyeji kazi yake ni kucheza mdunndiko kushabikia ujinga kama wa akina Maalim Seif
 
Nyumbu ni Chadema mmeshikiliwa akili zenu, bure kabisaa
Wewe ndiyo bure hujui kuwa nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM, kutokujua kuwa CCM ndiyo nyumbu halisi huo ndiyo unyumbu wenyewe.
 
Mmempiga wenyewe huko chadema, alikuwa anataka uenyekiti ambayo ni nafasi ya milele ya DJ.
Kwa Akili zako finyu unadhani huo uzushi utakupa sifa na uteuzi kuwa umejua kuzusha kutengeneza propaganda za kishamba, kama DJ ni tusi Mbona CCM kutwa mnatumia mabilioni kuidhoofisha chadema kuwabambikia kesi kesi uonevu kuwapora ushindi kwa kuwatumia Polisiccm na NECCCM Tumeccm wakurugenziccm na Polisiccm kuubaka kuunajisi kuulawiti uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
 
Wewe ndiyo bure hujui kuwa nyumbu ni CCM hata mbugani nyumbu ni wengi kama CCM, kutokujua kuwa CCM ndiyo nyumbu halisi huo ndiyo unyumbu wenyewe.
Nyumbu utamjua kwa akili sio wingi mfano naambiwa zungusha mikono na wewe unazungusha kweli eti ndio utapata USHINDI au unaambiwa fulani fisadi baadae eti inabadilishwa gear angani na wewe unachekelea huo ndio unyumbu sasaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yakhee ndo unalijua leo hili! Wenzio twalijua tangu na tangu yakhe!
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Hahaha mtabaki hivyohivyo sikuzote...hata Kama yangekuwa maonyesho ya beberu bado matokeo baada ya wananchi kupiga kura yangekuwa Kama haya
 
Dictator anayepigiwa kura na wananchi wanyonge ? Wewe ulisikia wapi
Huko kwenye kupigiwa kura kaa kimya tu. Halafu huu ni udhaifu wake toka akiwa mbunge, hakuwa na sifa ya kushinda kwa box la kura.
 
Tanzania hakuna uchaguzi umefanyika zaidi ya CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani
Waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa ripoti zao zinasema kwani...maana ripoti zote zimeshapelekwa ulaya na wameshazisoma
 
Hahaha mtabaki hivyohivyo sikuzote...hata Kama yangekuwa maonyesho ya beberu bado matokeo baada ya wananchi kupiga kura yangekuwa Kama haya

Kilichofanyika kwenye uchaguzi tumekiona kwa macho yetu, wala hatuhadithiwi.
 
Huko kwenye kupigiwa kura kaa kimya tu. Halafu huu ni udhaifu wake toka akiwa mbunge, hakuwa na sifa ya kushinda kwa box la kura.
Mmelogwa nyinyi..hamtakaa mpige hatua kamwe
 
Huyu Sefu msaliti alianza kuwasalito Wazenji wakati hayati Abood Jumbe alipotaka kuwakomboa toka kwa Kambarage

Sintashangaa Zitto nae akajichagua kuingia Bungeni; wapinzani wa njaa hawa!!!
 
Mmelogwa nyinyi..hamtakaa mpige hatua kamwe

Nasema hivi, hajawahi kushinda kwa ushawishi zaidi ya matumizi mabaya ya madaraka. Kitendo cha hata kutoshangilia alijua kabisa sio kwa kura za wananchi, bali kupitia madaraka yake.
 
Kilichofanyika kwenye uchaguzi tumekiona kwa macho yetu, wala hatuhadithiwi.
Hahaha hayo tumeshayazoea Kila wakati was uchaguzi mnakuja na nyimbp hizohizo..na hii tabia mmeshaihalalisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…