Pre GE2025 Maalim Seif alivyoitisha maandamano Zanzibar watu wakauawa, kwenye muafaka alijikumbuka yeye, waliouawa na kujeruhiwa waliachwa bila fidia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wabongo tunajisahau sana nina jirani askari nyumba kama tatu kutoka ninapoishi kila nikipita kwake naiona nyumba iliojaa shida fikiri askari hana hata kamba nzuri ya kuanikia gwanda ila atakapoambiwa piga wananchi atafanya kweli wakati akirudi mtaani sukari mafuta gesi vyote vimepanda bei sasa nawaza anafaidi nini wakati mtaani tunasota wote na muda mwingine maisha yetu angalau yana kaunafuu kuliko wao wanaotumikia wajinga wakabaki wapumbavu
Tofautisha akiwa na hadhi ya askari, huyo ni jamhuri, hana uhusiano na ujirani wako, akishavua ujamuhuri, muite jirani

Ndio maana wanatambulika kwa Force Number, sio majina yao
 
Bora hivyo kuliko kuwa mpumbavu wa kumpambania Mbowe kwani nae amishinda ataishia kuwa mtawala Wala hutogawiwa pesa

..kama unaona poa kuuwa Watz ili Mama Abduli na genge lake waendelee kutunyonya hayo ni maamuzi yako. Wengine tunaona sio poa.
 
Wafe tuu kwani genge lako wewe Lina Msaada gani kwangu na Kwa hao Unapita Watzn?

Hapo si unapigania tumbo lako na familia Yako au?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
unamtisha nani sasa?...wewe kama kujificha hayo na maamuzi yako
 
Jana ulisahau sidiria yako hapa geto, njoo uipitie
Mpaka leo unakaa geto? Ndio mana mijadala yako inakosa national image inaishia gheto! Kwanini huwalaumu waliowaua na kwajeruhi waandamanaji na kuwataka wawajibishwe ikiwemo serikali nayo iwajibike kwa kuwaamrisha hao askari kuwaua na kuwaheruhi waandamanaji? Na kuwafanya watu wengi kuwa wakimbizi? Meanwhile anayewajibika kutoa fidia na mkono wa pole ni Maalimu au serikali na vyombo vyake vilivyosababisha maafa hayo? You are wasted sperm
 
Wanokubali maandamano wote ni vichwa maji hakuna positive impact ya maandamano sehemu yyte ile
Where is the positive outcome tunapofanya maandamano kumpokea DAB au EN anapojitambulisha mikoani? Kama maandamano ni kinyume cha sheria yani ni uhalifu kwanini perpetrators wasikamatwe sasa na kufunguliwa mashtaka? Kwanini maandamano ya chama fulani ni halali au yale yetu wakatoliki wakati wa ekarist mtaani ni halali au kuchangia damu ni halali lakini haya ya chama fulani kueleza hisia zao yanawaumiza na kuwakera! Kwa uelewa wangu maandamano ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe kwa wahusika iwe kupongeza au kudai au kuwasilisha kero! Na hakuna sheria ya Bunge iliyowahi kutungwa kuharamisha maandamano provided dhamira yake sio kinyume na sheria na katiba ya nchi! We unaumia wakaindamana?
 
Mpaka leo unakaa geto? Ndio mana mijadala yako inakosa national image inaishia gheto! Kwanini huwalaumu waliowaua na kwajeruhi waandamanaji na kuwataka wawajibishwe ikiwemo serikali nayo iwajibike kwa kuwaamrisha hao askari kuwaua na kuwaheruhi waandamanaji? Na kuwafanya watu wengi kuwa wakimbizi? Meanwhile anayewajibika kutoa fidia na mkono wa pole ni Maalimu au serikali na vyombo vyake vilivyosababisha maafa hayo? You are wasted sperm
Kwa nini moja ya ajenda za Maalim Seif haikuwa kufidia wahanga, bali madaraka na posho?
 
Wale wanaojaa kwenye ile mikutano ya Joyce wowo wanafidiwa? Kaa kimya kuficha ujinga wako. Ndo mana una lichogo
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Maalim Seif alikuwa anawatembelea waliodhurika kutokana na mambo ya kisiasa kama uchaguzi na maandamano.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Waambie mbwa wenzako acheni kudhulumu haki za watu na kuwaua na kuwajeruhi pale wanapoonesha kukerwa na dhuluma mnazozifanya dhidi yao kwa kuandamana,kumbuka watu wanapoandamana awashurutishwi na mtu bali wanafanya hivyo kwa hiyari yao wenyewe wakiamini ndiyo njia sahihi ya kuonesha hisia zao na kupinga dhuluma zinazofanywa na nyie majangili(CCM).
Msiwasingizie kina Maalim Seif wakati mnaowaua ni nyinyi madhulumati mnaofikiri mtaishi katika dunia milele mtambue tu hata muwafanyie unyama kiasi gani wananchi ipo siku mtaondoka tu madarakani.
Katika dunia hii hakuna lilokuwa na mwanzo likakosa kuwa na mwisho na mtajutia makosa yenu na mtalipia kama sio nyinyi wenyewe basi hata vizazi vyenu vitalipa hizo dhuluma,endeleeni tu kujiona miungu watu.
 
Kwa nini moja ya ajenda za Maalim Seif haikuwa kufidia wahanga, bali madaraka na posho?
Katika terms za maridhiano ujaua kama swala la fidia halikuwepo? Na kama halikuepo unaweza kuweka jukwaani hapa terms za maridhiano?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu

Wewe kalisha matako yako nyumbani. Wanao andamana ni kwa manufaa yao. Kama unafikiri katiba itakuwa ya Chadema pekee basi kaa tu nyumbani
1706016484491.png
 
Tofautisha akiwa na hadhi ya askari, huyo ni jamhuri, hana uhusiano na ujirani wako, akishavua ujamuhuri, muite jirani

Ndio maana wanatambulika kwa Force Number, sio majina yao
Na kwenye mfumuko wa bei wanatambulika kwa fosi namba pia?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.

Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.

Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.

Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Kuna mtu aliniambia' siasa za Tanzania bila ya Mwl. Nyerere na Maalim Sef hazinogi, kumbe kweli!
 
Back
Top Bottom