chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
- Thread starter
- #21
Tofautisha akiwa na hadhi ya askari, huyo ni jamhuri, hana uhusiano na ujirani wako, akishavua ujamuhuri, muite jiraniWabongo tunajisahau sana nina jirani askari nyumba kama tatu kutoka ninapoishi kila nikipita kwake naiona nyumba iliojaa shida fikiri askari hana hata kamba nzuri ya kuanikia gwanda ila atakapoambiwa piga wananchi atafanya kweli wakati akirudi mtaani sukari mafuta gesi vyote vimepanda bei sasa nawaza anafaidi nini wakati mtaani tunasota wote na muda mwingine maisha yetu angalau yana kaunafuu kuliko wao wanaotumikia wajinga wakabaki wapumbavu
Ndio maana wanatambulika kwa Force Number, sio majina yao