Tofautisha akiwa na hadhi ya askari, huyo ni jamhuri, hana uhusiano na ujirani wako, akishavua ujamuhuri, muite jiraniWabongo tunajisahau sana nina jirani askari nyumba kama tatu kutoka ninapoishi kila nikipita kwake naiona nyumba iliojaa shida fikiri askari hana hata kamba nzuri ya kuanikia gwanda ila atakapoambiwa piga wananchi atafanya kweli wakati akirudi mtaani sukari mafuta gesi vyote vimepanda bei sasa nawaza anafaidi nini wakati mtaani tunasota wote na muda mwingine maisha yetu angalau yana kaunafuu kuliko wao wanaotumikia wajinga wakabaki wapumbavu
Bora hivyo kuliko kuwa mpumbavu wa kumpambania Mbowe kwani nae amishinda ataishia kuwa mtawala Wala hutogawiwa pesa
Wafe tuu kwani genge lako wewe Lina Msaada gani kwangu na Kwa hao Unapita Watzn?..kama unaona poa kuuwa Watz ili Mama Abduli na genge lake waendelee kutunyonya hayo ni maamuzi yako. Wengine tunaona sio poa.
unamtisha nani sasa?...wewe kama kujificha hayo na maamuzi yakoAkili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.
Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.
Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.
Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Mpaka leo unakaa geto? Ndio mana mijadala yako inakosa national image inaishia gheto! Kwanini huwalaumu waliowaua na kwajeruhi waandamanaji na kuwataka wawajibishwe ikiwemo serikali nayo iwajibike kwa kuwaamrisha hao askari kuwaua na kuwaheruhi waandamanaji? Na kuwafanya watu wengi kuwa wakimbizi? Meanwhile anayewajibika kutoa fidia na mkono wa pole ni Maalimu au serikali na vyombo vyake vilivyosababisha maafa hayo? You are wasted spermJana ulisahau sidiria yako hapa geto, njoo uipitie
Where is the positive outcome tunapofanya maandamano kumpokea DAB au EN anapojitambulisha mikoani? Kama maandamano ni kinyume cha sheria yani ni uhalifu kwanini perpetrators wasikamatwe sasa na kufunguliwa mashtaka? Kwanini maandamano ya chama fulani ni halali au yale yetu wakatoliki wakati wa ekarist mtaani ni halali au kuchangia damu ni halali lakini haya ya chama fulani kueleza hisia zao yanawaumiza na kuwakera! Kwa uelewa wangu maandamano ni njia moja wapo ya kufikisha ujumbe kwa wahusika iwe kupongeza au kudai au kuwasilisha kero! Na hakuna sheria ya Bunge iliyowahi kutungwa kuharamisha maandamano provided dhamira yake sio kinyume na sheria na katiba ya nchi! We unaumia wakaindamana?Wanokubali maandamano wote ni vichwa maji hakuna positive impact ya maandamano sehemu yyte ile
Kwa nini moja ya ajenda za Maalim Seif haikuwa kufidia wahanga, bali madaraka na posho?Mpaka leo unakaa geto? Ndio mana mijadala yako inakosa national image inaishia gheto! Kwanini huwalaumu waliowaua na kwajeruhi waandamanaji na kuwataka wawajibishwe ikiwemo serikali nayo iwajibike kwa kuwaamrisha hao askari kuwaua na kuwaheruhi waandamanaji? Na kuwafanya watu wengi kuwa wakimbizi? Meanwhile anayewajibika kutoa fidia na mkono wa pole ni Maalimu au serikali na vyombo vyake vilivyosababisha maafa hayo? You are wasted sperm
Kesho tunaandamana mkuu#kataaKutumika kisiasa
Nimemwandikia hapo lakini kumbuka Chinembe huwa kinasuguliwa tu kuongeza sexual arousal na libido nothing moreTungekuona kuwa una akili timamu kama ungezungumzia jinai iliyotendwa na serikali ya kuua na kujeruhi hao watu
Hujajibu maswala ya msingi! Wewe ungeanzisha hiyo agenda kungekua na shida?Kwa nini moja ya ajenda za Maalim Seif haikuwa kufidia wahanga, bali madaraka na posho?
Wale wanaojaa kwenye ile mikutano ya Joyce wowo wanafidiwa? Kaa kimya kuficha ujinga wako. Ndo mana una lichogoKwa nini moja ya ajenda za Maalim Seif haikuwa kufidia wahanga, bali madaraka na posho?
Maalim Seif alikuwa anawatembelea waliodhurika kutokana na mambo ya kisiasa kama uchaguzi na maandamano.Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.
Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.
Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.
Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Waambie mbwa wenzako acheni kudhulumu haki za watu na kuwaua na kuwajeruhi pale wanapoonesha kukerwa na dhuluma mnazozifanya dhidi yao kwa kuandamana,kumbuka watu wanapoandamana awashurutishwi na mtu bali wanafanya hivyo kwa hiyari yao wenyewe wakiamini ndiyo njia sahihi ya kuonesha hisia zao na kupinga dhuluma zinazofanywa na nyie majangili(CCM).Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.
Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.
Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.
Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Katika terms za maridhiano ujaua kama swala la fidia halikuwepo? Na kama halikuepo unaweza kuweka jukwaani hapa terms za maridhiano?Kwa nini moja ya ajenda za Maalim Seif haikuwa kufidia wahanga, bali madaraka na posho?
Ivae unapoenda kwenye mikutano ya CCM au ukienda kuvua samaki.Ya kwake, huelewi?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Maalim Seif, gwiji la siasa za mageuzi aliitisha maandamano Zanzibar, watu wengi sana walikufa, wakajeruhiwa na wengine wakawa wakimbizi shimoni Mombasa.
Ukaja muafaka, Maalim kapewa vyeo lukuki na maslahi matamu matamu.
Lakini kwa nini hakuwakumbuka waliouwawa na kujeruhiwa walau wapate mkono wa pole? Ndivyo wanasiasa walivyo, wabinafsi, na wanatumia wananchi kwa maslahi yao, kisha wanawatupa.
Akili za kuambiwa changanya na zako. Usikubali kuandamana ili mtu fulani apate cheo, halafu wewe hupati kitu
Na kwenye mfumuko wa bei wanatambulika kwa fosi namba pia?Tofautisha akiwa na hadhi ya askari, huyo ni jamhuri, hana uhusiano na ujirani wako, akishavua ujamuhuri, muite jirani
Ndio maana wanatambulika kwa Force Number, sio majina yao
Kuna mtu aliniambia' siasa za Tanzania bila ya Mwl. Nyerere na Maalim Sef hazinogi, kumbe kweli!Akili za kuambiwa changanya na zako.