Uchaguzi 2020 Maalim Seif anapodai "Mamlaka Kamili" anamaanisha kuvunja Muungano?

Nimemjibu hivyo kutokana na jibu alilonijibu. Wewe hapa unarukia bila kujua maana yake.

Hao "wanaouliwa" wataacha kuuliwa kwa majibu ya kipuuzi?
Hako kajamaa kana kiherehere sijui ni gavana wa pemba full pumba
 


Hao wanaojimilikisha Ardhi za watu akina Marehemu Mkapa , Mwinyi, Magufuli wamezifanyia kitu gani hizo ardhi . Ni ufisadi tu
 


Tulia dawa ikuingie , sikiliza kwa furaha kabla Oktober 28
 

Attachments

  • lissu muungano.mp4
    5.4 MB
Tulia dawa ikuingie , sikiliza kwa furaha kabla Oktober 28
CCM inawajua vizuri Zito na Maalim.
Lissu hajawajua hata chembe hawa watu.
Haijawai tokea mambo yakawa magumu kabisa kwa serikali ya Zanzibar alafu Maalim akacha kulegeza kamba.

Nafasi yake ya umakamu wa kwanza bado ipo.
Hivyo hivyo kwa Zito pia nafasi yake ya kwenye kamati ya madini ipo.
Zito na Maalim hawajawai kuziangusha hizi serikali mbili za muungano.
 

Na Maalim na Lissu wanaijuwa vizuri CCM

Pata dozi zaidi upate kulegea zaidi


 
Lissu haijui CCM ila Maalim anaijua/aliishi na alipikwa na CCM.
 
Lissu haijui CCM ila Maalim anaijua/aliishi na alipikwa na CCM.


Labda huijui wewe , Lisu na wanyonge wa nchi hii wanaijua vizuri . Lissu ameelala jela siku nyingi na kupigwa mabomu na kupigwa risasi . unataka kutuambia hajaijua tu bado CCM .

Ni mwendawazimu aliyeshiba ugali na bia moja na paketi ya sigara hapo Lumumba ndio atakuwa haelewi
 
Ni nini ushiriki wa wananchi katika uamzi wa kuuvunja au kutouvunja muungano, au inatosha tu kwa Maalim kuchaguliwa kwa sera hiyo kuchukua uamzi wa kuuondoa Muungano?
Kwani ulipoundwa waliulizwa ? Hakuna mzanzibari anaetaka muungano, sio leo wala sio hio miaka 64. Tokea asubuhi/awali muungano ilikuwa ni ajenda ya Tanganyika ikiongozwa na Nyerere.

Kwa bahati mbaya, Nyerere alikuwa na ajenda za siri akijifichia pan-africanism. Hili nadhani linaonekana hadi leo ukiwasikiliza akina Lukuvi, Makonda n.k. ajenda yao ya siri utagundua hawana nia njema na wazanzibari.

Wana chuki ndani ya mioyo yao dhidi ya waislamu, na hii ndio imekuwa sera kuu kwa Tanganyika kutumia kisingizio cha muungano kutekeleza ajenda zake chafu dhidi ya Zanzibar.

Wazanzibari wengi mbona hatuna shida wala ubaya wowote kuchanganya damu au kuishi na watanganyika. Mara nyingi tatizo letu liko au linatokea kwenye masuala ya kidini. Hili nadhani sio geni waislamu hata hao wa Tanganyika watabehave the same.

Niishie hapo kwa sasa.
Maasalaam
 
..kwa maoni yangu Wazanzibar wanahitaji uchaguzi utakaofanyika ktk mazingira HAKI.

..Chaguzi za Zanzibar zimekuwa na matatizo hata kabla hayajatokea mapinduzi.

..Watanganyika tukishirikiana na taasisi za kimataifa kama UN, Commonwealth Secretariat, AU, etc tuwasaidie Wazanzibari kufanya uchaguzi ulio free, fair, and credible.
 
Amnakitu.kuhusu Lissu kuijua CCM kwa kupigwa mabomu na kulala jela umeandika pointless.
ushadata wewe.
 
JPM wakati anapambana na Lowassa alipiga push-ups nyingi mara kadhaa, ulifahamu maana yake? Dhihaka kwa Lowassa kuhusu afya yake. Rhetorical language.

Wakati huu anapambana na amepigishwa magoti mara mbili akiomba kura, unajua maana yake??

Mataga Tafuta thamani ya X......
 
Unapojiweka wewe kuwa msemaji wa wazanzibar, hata bila ya kuwa naushahidi wa hayo unayowasemea mara moja hoja zako zinakuwa hafifu na msomaji mwenye upeo anadharau hata kuendelea kusoma mengine uliyoandika.

Hata hivyo, nimevumilia, nisome yote uliyoandika. Kumweka Mwalimu kundi moja na Makonda, kunakufanya wewe mwenyewe uonekane umepungukiwa kichwani.

Na kama haitoshi, unazidi kujichanganya mwenyewe kuonyesha usivyokuwa na mwelekeo:" Wazanzibari wengi mbona hatuna shida wala ubaya wowote..." Kama sio kuwa na akili pungufu huku tukuiteje?
 
Nadhani huelewi maana ya 'rhetorical language' ndio maana unajichanganya kiasi hiki,ili mradi uonekane unajua kitu.

Unaipa lebo ya 'Mataga' ikionyesha wewe huna umakini wowote kujua unayemjibu ni mtu mwenye msimamo gani; unajifyatukia tu bila kuwa na kipimo!
 
Naona unarukaruka kama panzi, huna lolote la maana unaloshikilia kichwani mwako. Sina muda wa kupoteza.
Nilitaka kushangaa tokea lini kada wa CCM kukubali ukweli.
Utakuwa nao muda Oktober 28 apendapo Mola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…