Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Atagombea hadi apoteze uwezo wa kutembea hatakuwa Rais wa Zanzibar yeye na wanaofanana nao mawazo
Huyu babu kikongwe atagombea hadi akiwa kaburini,kwa nini asimuachie Hussain Mwinyi damu changa kipenzi cha wazanzibari

Hivi wana Lumumba inakuaje mnaumia na mtu kugombea uraisi kwa chama kisicho chenu?

Inaonekanwa ni mwiba anawachoma
 
Duuh..This is too much..Mbona vijana wapo, kina Jussa, Mansur , Mazrui n.k.

Maalim ungepumzika tuu jamani.

Wanasema vyama tawala hung'ang'ania madaraka kumbe hata nyie watawala wa vyama pinzani mnang'ang'ania pia.

aliesema kuwa raisi lazima awe kijana ni nani?
 

Mbona unaumia sana na maalim Seif mwana Lumumba?
 
Malawi walimkataa Rais wao Kwasababu alikuwa anaishi ulaya, yaani muda mwingi yupo nje ya nchi kutumikia Mabeberu
Kwa faida yako na wengine wasioelewa Maalim Seif ni Taasisi , si binadamu wa kawaida tu kama unavyomuona .
 
CCM wanafurahisha sana, Maalim Seif katangaza kuchukua fomu ya kugombea Uraisi kupitia ACT wanaumia wao 😂😂😂
 
Nakubaliana na wewe kabisa. For as long as Jecha na wenzie ni wanachama wa CCM, anapoteza muda wake tu. Amekuwa akishinda tangu 1995 lakini anayetangazwa ni mwingine. Hivyo hivyo itakuwa 2020.
Atagombea hadi apoteze uwezo wa kutembea hatakuwa Rais wa Zanzibar yeye na wanaofanana nao mawazo
 
Wanamjua vizuri sana. Amewashinda tangu 1995. Mioyo inawadunda sana hivyo. Sema tu wanajua Jecha wa sasa atawasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…