Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Mutharika hajawahi kuishi Ulaya. Ameishi Marekani ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kurudu Malawi na kuingia katika siasa. Acha uongo. Kusema uongo ni dhambi.
Malawi walimkataa Rais wao Kwasababu alikuwa anaishi ulaya, yaani muda mwingi yupo nje ya nchi kutumikia Mabeberu
 
Mbona unaumia sana na maalim Seif mwana Lumumba?
Namhurumia Mh. Seif, maana anawazibia vijana nafasi, yeye wakati wake ulishapita aachane na mambo ya kugombea abaki mshauri tu.
 
Masikini MaCCM mmefikia hali mbaya sana kiasi cha kuogopa watia nia tu wa upinzani.
Kweli?!
Sasa akipitishwa si mtakunya wote wa Lumumba na IKULU. Mmekua DHAIFU mno.
 
Naona watu wenngine ni waajabu sana. Wanaacha kufanya yao wanashugulika na mgombea wa chama kingine. Uoga unawasubua.
 
Wana JF jana kulikuwa na mbwembwe za Maalim kualika watu wote kuhudhuria mkutano wake leo Hotel Verde sasa nimeona jua linazama hakuna uzi humu wala hakuna update? imekwendaje huko Zenj? anaejua atujuze!
 
Ni mbwembwe tu uchaguzi ukiisha atatulia kama anavyotuliaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…