Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

mtakapo acha kumwibia kura zake ataachaa kugombea
 
Maalim atashindwa vibaya sana na itakuwa mwisho wake wa Kisiasa!
 

Amesema atachukua fomu kugombea sasa kuna kosa gani kama Chama wataona hana uwezo wa kukubalika si wako watia nia wengine wataangaliwa?

Amesema Wazanzibari tafiti zaonyesha anakubalika sasa watakaomchagua ni wazanzibari wewe huko Tanganyika unaumia nini?

Usiwe na wasiwasi akipata atakuwa Rais wa Zanzibar na sio wa Tanganyika ni vizuri ku-deal na eneo lako zaidi sio busara kuingilia mawazo ya watu kama wazanzibari wanamkubali mwache atimize matakwa ya hao Wazanzibari.

Mbona Tanganyika muko bizi sana mpaka kubadilisha katiba Bungeni kumuongezea muda Meko aendelee kuwa rais wa maisha? kwanini hujadili hili?
 

Wewe kura yako weka kwa bwana yule Prof Lipumba
 
Atagombea hadi apoteze uwezo wa kutembea hatakuwa Rais wa Zanzibar yeye na wanaofanana nao mawazo

Wewe binafsi huna ubavu wa kujua ata kesho utakula nini licha ya kujua nani atakuwa rais zanzibar, Jitafakari izo buku 7 unazokula kwa kuipigania ccm wenzako kina membe, kinana, Nape na wengine sasa wanagaragara tu
 
Wenzake aliogombea nao 1995 hadi walishasahau, anatania watu huyu Mzee... kuna namna anajinufaisha!
 
Mataga ya Lumumba bhana
 
Huyu mzee nae apumzike tangu nipo vidudu mpaka nimekua mtu mzima anagombea tu.
 
Hapa Zitto ndio huwa simuelewi elewi. Hii ni kwa ajili ya ruzuku au ni demokrasia ya kweli?
 
Hapa Zitto ndio huwa simuelewi elewi. Hii ni kwa ajili ya ruzuku au ni demokrasia ya kweli?
Seif 1995, seif 2000, Seif 2005, Seif 2010, Seif 2015, Seif tena 2920
 
Ana jipya huyo Babuu wale wale tu...
 

Muungano haupo , huo ni uvamizi uliopewa jina la muungano. Zanzibar haihitaji kambi za jeshi kila maili tatu, na melfu ya polisi na watu wasiojulikana
 
Ahsante Maalim ,kama kawa mgombea wa CCM kugalagazwa na kuomba usaidizi wa refa. Mwaka huu hakuna kurudi nyuma.Ngangari re loaded. Ewe Mungu tusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…