Zanzibar 2020 Maalim Seif atangaza kugombea urais Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo

Hii ndio mara yake ya mwanzo mbona kugombea ndani ya ACT. Tokea 1995 hio vipi wakati chama chenyewe kimeanzishwa 2015.
Dah! Umenikumbusha Marehemu Pierre Nkuruzinza na claims zake kuhusu ukomo wa urais nchini Burundi.
 
Kwa ubabe wa jeshi la Tanganyika, mgombea wa ccm lazima atangazwe mshindi
 
Tunamuunga mkono wana CDM atuwakilishe kwenye UKAWA Zanzibar.
 
Huyu babu kikongwe atagombea hadi akiwa kaburini,kwa nini asimuachie Hussain Mwinyi damu changa kipenzi cha wazanzibari
Wazanzibar hawawezi kukuelewa ujue! Labda agombee kwa Chama kingine. Kuliko kuipigia kura CCM wako tayari kumpigia kura Maalim hata akiwa kaburini!
Wao wasichotaka kusikia ni CCM na Muungano ambao ni Koti linalowabana.
Maadam Muungano upo haitatokea CCM ishinde uchaguzi wa Zanzibar!
Nadhani sasa hivi Vifaru vya Kijeshi vinaandaliwa tayari kwenda kuthibiti hali baada ya Rais Pandikizi la CCM kutangazwa!!
 
Wapinzani wa kiafrika bhana kila mwaka ni wanagombea wale wale tu , lipumba , maalim , Laila odinga, agaton n.k miaka yote wao tu.

Madikiteta sana.
 
Maalimu akikubali kuporwa tena ushindi kama ilivyotokea chaguz zilizopita , atakuwa mtu wa ajabu sana.
 
Zitto hii nafasi ilikuwa ya Jusa na Zanzibar mngesimama vizuri mngechukua. Lakini kwa huyu Mkongwe hakuna anaewaunga mkono hamjaja na jipya
 
Toka 95 mpaka leo, dah... wamemchoka sana aisee..
 
Atagombea hadi apoteze uwezo wa kutembea hatakuwa Rais wa Zanzibar yeye na wanaofanana nao mawazo
kama mungu akiamua kumpa hakuna wa kuzuia mkuu. Japo afya yake kwa sasa sio nzuri sana maana niliona siku za karibuni walikuwa wana msaidia kutembea kwa kumshika mkono.
Wacha wananchi wa Znz waamie hiyo ndio demokrasia.
 
Hii ni simulizi ya vijiwe vya kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…