Baadaye watakana kuwa hii fake walivyo mashetani!
Hakukuwa na namna
Hiyo kuandika ACT badala ya kirefu chake si ndio ilisababisha wagombea kuenguliwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa? Au kwa kuwa ni tume hakuna tatizo?
Tunasubiri kuwasikia polisi wamemchukulia hatua gani aliyefoji nyaraka za serikali.Shida ya waTanzania hii itaishia hivi hivi! Yule aliyefoji ile barua anatakiwa achukuliwe hatua. Kwakuwa Tume imejiridhisha kuwa ile barua ni ya kufoji basi wakabidhi hiyo barua na aliyeileta kwa polisi. Kama ni mgombea wa CCM au wa cham chochote ndio aliweka hilo pingamizi kwa ushahidi wa barua ile ya kufoji na achukuliwe hatua za kisheria kwa kufoji