Maalim Seif awashukuru watanzania kwa kumuombea, awaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Maalim Seif awashukuru watanzania kwa kumuombea, awaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

We have now become world’s supplier and the stock is enough for all.
Incubation covid siku ngapi? Mola atuepushe japo ni wajibu kuwakinga wazee wetu na wenye kinga dhaifu.
 
Mimi nakwambia Corona inakuzwa sana.
Aliugua
Sallam alipona.
Aliugua mwana fa akapona
Aliugua Pierre akapona.
Na wanaoikuza wanaikuza kishabiki sijui wanamkomoa nani!!!
Nimemsikia Shaibu wa ACT hapo BBC ni kama anafurahia sasa corona ipo.
Hata kama ipo,isifanywe kuwa ndo ugonjwa mkuuubwa kiasi hicho tunachoyaka watu waamini.
 
Atleast kaitaja ACT na kuwashukuru kwa wito wao wa watu “kuchukua tahadhari”.

Sijui kuna woga gani kuitaja corona. Hii kitu watu wanaugua daily na siku 5 tu wapo mtaani wanadunda
Waliitumia kama ngaz ya kupanda kisiasa.
Sasa wanaogopa kukubali kuwa ipo maana itachafua ile image waliyo ijenga mwanzo
 
Kama Kinga zako za mwili NI DHAIFU.
Safari inakusubiri.
Angalia Wana michezo wote NI Nani amekufa na Corona?.
Weka mwili wako vizuri.gonga limao zao tangawizi zako maisha yanaendelea
Unawazungumzia watu waliopona, mbona huwasemi na waliokufa?

Corona inakuzwa!!! Hahaha subiri ikupate ndio utajua hujui.
 
Kuwa na Corona NI FASHION KWA TANZANIA.
dunia ikisikia Tanzania kuna wagonjwa wa Corona waao ndo wanafurahia.
Hii ni Vita Kati ya mungu na MZUNGU.
Na mungu hajawahi kushindwa.
Tuzidi kumuomba
Na wanaoikuza wanaikuza kishabiki sijui wanamkomoa nani!!!
Nimemsikia Shaibu wa ACT hapo BBC ni kama anafurahia sasa corona ipo.
Hata kama ipo,isifanywe kuwa ndo ugonjwa mkuuubwa kiasi hicho tunachoyaka watu waamini.
 
We have now become world’s supplier and the stock is enough for all.
Wewe utakuwa ndio unazinduka leo?

Kuna nchi watu wamekufa kwa malaki huku wewe ukiendelea kujichanganya katika kununua mihogo hapo kwa mparange!

Wengine mna shida gani?
 
Uliwataja wote maarufu. Wali ambao hawajulikan una taarifa nao?
Nao watakuwa wamepona hukohuko walipo. Mimi nina mifano mingi tu.
Corona haiui...kinachoua ni hofu na kama unamogonjwa mengine yanayohusiana na upumuaji. Tusitishane.
 
Back
Top Bottom