Maalim Seif awashukuru watanzania kwa kumuombea, awaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Maalim Seif awashukuru watanzania kwa kumuombea, awaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona

Waliitumia kama ngaz ya kupanda kisiasa.
Sasa wanaogopa kukubali kuwa ipo maana itachafua ile image waliyo ijenga mwanzo
Hata mara ya kwanza haikuwepo....ikaja,ikaondoka.....kama imekuja tena tutapambana nayo kama awali.
 
Mimi nakwambia Corona inakuzwa sana.
Aliugua
Sallam alipona.
Aliugua mwana fa akapona
Aliugua Pierre akapona.
Ngoja uugue kwanza tuone kama na wewe utapona au utakwenda moja kwa moja.
 
Mimi niugue Corona?[emoji847][emoji847][emoji847].
Magonjwa kadogo hivi.
Kinga zangu za mwili ziko Safi.siwezi kuiogopa Corona hata siku moja
Ngoja uugue kwanza tuone kama na wewe utapona au utakwenda moja kwa moja.
 
Then why tunachukua tahadhari?
There is no need kuchukua tahadhari kama threat sio imminent.
Elewa wewe!!!
Kwani unapoweka net kitandani unakuwa una malaria au unajikinga usiyapate?
Na malaria si yapo tu?
Ukivaa condom unajikinga na nini?
UKIMWI upo,so lazima tuchukue tahadhari.
Kadhalika corona ipo......tuendelee kuchukuwa tahadhari.
 
Lakini washirika wake wa CCM wanadai ame fake huo ugonjwa iki kuipiku Chadema
 
Elewa wewe!!!
Kwani unapoweka net kitandani unakuwa una malaria au unajikinga usiyapate?
Na malaria si yapo tu?
Ukivaa condom unajikinga na nini?
UKIMWI upo,so lazima tuchukue tahadhari.
Kadhalika corona ipo......tuendelee kuchukuwa tahadhari.
Unachukua tahadhati sababu hatari ni imminent na ipo.
Unaambiwa utumie neti ili usipate maleria.. means malaria ipo.
Unashauriwa utumie condom sababu ukimwi upo. Otherwise kusingekuwa na umuhimu wa condom.

Huwes kujikinga na adui hewa ambae hayupo. Utakuwa delusional.
 
Sasa wewe corona ipo au haipo?
Au unatanaka upigiwe ngoma ndo uelewe?
Kwani ulitaka tusichukue tahadhari?

Halafu unataka iwepo ili upate nini?
Jikinge ndugu yangu.
 
Sasa wewe corona ipo au haipo?
Au unatanaka upigiwe ngoma ndo uelewe?
Kwani ulitaka tusichukue tahadhari?

Halafu unataka iwepo ili upate nini?
Jikinge ndugu yangu.
Hahah kuna mahali nimetaka iwepo?
Naona unajiuliza na kujijibu mwenyewe haha.
Take care man..
 
1613503271690.png
 
Back
Top Bottom