LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Huu Ni uwongo Wa mchana kweupe 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaota kila siku cdm una matatizo makubwa ya akiliHabari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.
Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.
Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.
Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
Maendeleo hayana vyama!
Babu Duni hafawi, tunataka vijana, Wazee wanaogopa kutoa maamuzi magumu,akili zao zimejaa woga..
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki !Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.
Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.
Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.
Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Umeshapanic bwashee!Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki !
Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.
Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.
Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.
Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
Maendeleo hayana vyama!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tucheke woteENDELEENI KUNYWA MCHUZI NYAMA MTAZIKUTA CHINIView attachment 1326749
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.
Godbless Lema naye anatajwa kuhamia jimbo la Hai ambako ni nyumbani kwao kugombea ubunge na akishinda anaweza kuteuliwa kuwa Waziri wa mambo ya ndani na Naibu Waziri mkuu kama ilivyokuwa kwa Augustini Lyatonga Mrema enzi za Mwinyi.
Safari hii bendera itakayopeperushwa ni ya ACT wazalendo.
Endeleeni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
Maendeleo hayana vyama!
Lisu katua Kenya siyo Tanzania!Ma Mbweha ya Lumumba Baada ya Kuona Lissu katua Nchini Mavi yashaanza kugonga Nyupi
CCM inashinda saa 4 asubuhi!