Tetesi: Maalim Seif kugombea urais wa JMT, Mbowe mgombea mwenza Zitto Waziri Mkuu mtarajiwa; Lema kugombea Ubunge Hai

Unaota kila siku cdm una matatizo makubwa ya akili
 
Hai hawawezi kuwapa wageni tena tunawapa wakulima wa Nyanya, Kahawa, Siku hizi Kuna Vanilla nk hawa tunakaa nao na wanajua shida zetu hapa Nshara na Lemira mpaka Masama tunahitaji mwenzetu si wa Dar, Mwanza au Arusha kisa Lema, kimaro au Massawe kumbe kyasaka
 
Muuuuh hivi siku hizi mtu akitoka usingizini anatupia Post??.
 
Siyo rahisi mgombea kutoka Visiwani ashinde kwenye kinyang'anyiro cha Uraisi wa JMT kwa nyakati hizi kwa sababu ya uelewa wa wananchi.
Wananchi wa bara ambao ni wengi, hawatamchagua mtu kutoka nchi nyingine (yenye serikali na katiba yake) awe Rais wao.
Zama za siasa za kudanganyana zimepita, labda katiba ibadilishwe kuwe na serikali tatu.
Hilo liliwezekana tu kwenye mfumo wa chama kimoja.
 
Babu Duni hafawi, tunataka vijana, Wazee wanaogopa kutoa maamuzi magumu,akili zao zimejaa woga..

tunaomba umuheshimu mzee Duni.

Hakuna Kijana mwenye uwezo zaidi ya Maalim Seif na Mzee Juma Duni licha uzee wao.
 
Hasara waliyoipata wazazi wako haipimiki !
 

Kwa hao wote uliowataja hapa sijaona wa Kuitoa CCM Madarakani na labda nikusaidie tu wote hao wako katika ( Payroll ) ya hao wanaopambana nao ila tatizo la Watu wengi huwa hatupendi kufanya tathmini, uchunguzi na kufuatilia mambo Kiundani na badala yake Watu wachache wanachezea Akili za Wapuuzi wengi huku wao wakiwa wanaendelea Kutajirika na wale wanaowashangilia Umasikini ndiyo unaongezea Kwao. Nyimwa Pesa ila pewa Akili!
 

Ma Mbweha ya Lumumba Baada ya Kuona Lissu katua Nchini Mavi yashaanza kugonga Nyupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…