Hawa vijana wa CCM hawajui kitu na wala hawana lolote .joe biden ana miaka 78
je! kama hao vijana hawataki hiyo nafasiMara nyingi sababu kubwa ni ubinafsi. Hawaamini kama mtu mwingine anaweza isipokua wao tu. Vijana wapo wengi, wawayengeneze hao na kuwapa support......
Huko CCM fomu imeprintiwa moja halafu naskia computer na printor zimevunjwaUpinzani njaa huku kwetu, viongozi ving'ang'anizi kwenye madaraka kama ruba!! Tamaa na uchu wa madaraka!
Ni sababu tosha ya kuonesha kushindwa. Maana yake ni kuwa chama au kiongozi husika kashindwa kuandaa warithi! Hiyo pekee inaonesha sio kiongozi nzuri. Hafai.je! kama hao vijana hawataki hiyo nafasi
kwa mantiki ya hoja yako huku bara ccm wameshindwa kuandaa mshindani wa magufuli uchaguzi wa mwaka huu.Ni sababu tosha ya kuonesha kushindwa....maana yake ni kuwa chama au kiongozi husika kashindwa kuandaa warithi! Hiyo pekee inaonesha sio kiongozi nzuri. Hafai.