Maalim Seif Sharif Hamad at 77th year anatafuta nini kwenye Siasa?

Tokea namfahamu Maalim hakuna uchaguzi ambao hajagombea Urais.

Nadhani labda hiyo ndio mission yake katika maisha.
 
Hii inaonyesha kuwa bado CCM inamhofia SEIF
Na hii inamaanisha kuwa bado maalim ana ushawishi mkubwa visiwani
 
Muulize Trump ana umri gani. Suala sio umri Bali ni afya na uwezo. Acha apiganie haki yake mkuu sio vby hata kama humpendi.

2020
 
Michael Sata naye alikuwa king'ang'anizi kama Maalim tu at 74 akaukwaa urais na matokeo yake muda mwingi akawa hospital kuliko ofisini kwake kisa umri na mwishowe akafia madarakani.
 
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?

Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.

Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.

Kwani kwenye Katiba umri wa juu ni miaka mingapi?
 
Ulishaambiwa Zanzibar "ukipiga filimbi watu wote wanasikia" na "unaweza zunguka kwa baiskeli" hii alisema Ally Kesst Mbunge wa Nkasi.
 
Amewapanga vijana waseme wanamuomba agombee ana mbinu za kitoto
Kawasaidie cuf huko pemba!
IMG_20200701_205440.jpg
 
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?

Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.

Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Swali zuri ambalo wanzazibar wanatakiwa wajiulize ni hilo kua anatafuta nini??miaka 77yote
 
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?

Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.

Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.

Kwasababu ana ridhaa ya wananchi siyo kama jiwe
 
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?

Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.

Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Kwani kuna sheria inamzuia kutafuta anachotafuta? USIMPANGIE
 
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?

Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.

Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Umeambiwa kwenye siasa kuna kulima au kufanya riadha?
 
Upinzani njaa huku kwetu, viongozi ving'ang'anizi kwenye madaraka kama ruba!! Tamaa na uchu wa madaraka!
wanaong'ang'ania Madakarani kama ruba unawajua, miaka 60 mnaongoza watu bado masikini wa kutupwa lakini mnataka kuongeza na muda wa uongozi kama sio ruba ni nini
 
Wananchi wamemkubali... Ungeuliza ile maiti inayotembea (balozi Seif Ali Iddi) kwa nini hapumziki akashughulika na ugonjwa wa laana alopewa!

btw, mfano 2025 Maalim awe ametangulia mbele ya haki. Wananchi watataka ACT wasimamisha japo maiti ya Maalim awe mgombea.
Yaani wananchi wapo tayari kuipa Maiti ya Seif urais kuliko kuongozwa na misukule ya CCM ilokuwa haina faida yoyote Zanzibar!
 
Back
Top Bottom