ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Kwani Mwinyi at 95 anatafuta nini Majukwaani na kwenye vikao vya CCM?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajasiriamali wa siasa mnavituko eti sio mtu/binadamu Ni taasisi!!!Kwanza nikuulize lowassa wa mwaka 2015 alikuwa na miaka 77 ? halafu lingine ninalotaka ufahamu ni kwamba Maalim Seif siyo mtu au binadamu , hii ni Taasisi , wanaccm wamekesha kutafuta majini hadi comoro ya kuidhuru taasisi iitwayo Maalim Seif lakini imeshindikana , sasa kwa mtu duni kama wewe unayelipwa posho ya tsh 7000 unadhani utafanya nini ?
Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?
Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.
Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Ja! ja! ja! (In spanish)Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?
Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.
Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Si Kuna hoja ya kuongeza muda wa urais TZ, miwani yako ya mbao haioni kuwa huo ni uchu wa Madaraka?Upinzani njaa huku kwetu, viongozi ving'ang'anizi kwenye madaraka kama ruba!! Tamaa na uchu wa madaraka!
Ana tafuta kuwakomboa WazanzibarWakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?
Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.
Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Ni sababu tosha ya kuonesha kushindwa....maana yake ni kuwa chama au kiongozi husika kashindwa kuandaa warithi! Hiyo pekee inaonesha sio kiongozi nzuri. Hafai.
Kuna watu Wana umri mdogo wanayoyafanya kwenye siasa Naya hivyo kuliko wenye miaka80
Waziri mkuu wa Malaysia 92Wakuu leo nimemuona Maalim Seif akiwa na Fimbo maarufu kama Mkongojo, silamlaumu ila at 77 ni kawaida kwa mtu kuanza kupata mashambulizi. Kinachoniumiza kwanini mzee haamini katika Succession plan?
Kampeni zinahitaji Nguvu ya ziada zisiwe zile za Lowassa 2015 alikua hawezi hata kumaliza dakika 10.
Huyu Mzee kasahau nini kwenye siasa hata kimvuto analazimisha na Alivyohama chama ndo kajichanganya zaidi na Amewachanganya wapiga kura wake.
Hivi, kabisa kuna watu wanamhofia Seif.?