Maalim Seif Sharif Hamad at 77th year anatafuta nini kwenye Siasa?

Wajasiriamali wa siasa mnavituko eti sio mtu/binadamu Ni taasisi!!!
 
Kama kawaida yake atamsindikiza Mgombea wa CCM halafu atastafu zake huu Ni mwaka wake wa mwisho
 

Gambo 37 anatafuta nini kwenye siasa?
Bashite 39 anatafuta nini kwenye sias?
Mwampamba[mla wake za watu] 34 anatafuta nini kwenye siasa?
 
Kuna watu Wana umri mdogo wanayoyafanya kwenye siasa Naya hivyo kuliko wenye miaka80
 
Ja! ja! ja! (In spanish)
Siku zote watu hawapendi moto katika njia wanazopita.
Na
Ausifuye moto basi umemchoma.
Anaonekana amekukaba sawasawa, usimuogope si mzee? kaisha sio
Pambana sasa
Ja! ja! ja!
 
Upinzani njaa huku kwetu, viongozi ving'ang'anizi kwenye madaraka kama ruba!! Tamaa na uchu wa madaraka!
Si Kuna hoja ya kuongeza muda wa urais TZ, miwani yako ya mbao haioni kuwa huo ni uchu wa Madaraka?
 
Ana tafuta kuwakomboa Wazanzibar
 
Hiki ndio chama ambacho Zitto anatamba kutumia ujana kama kete yake kisiasa halafu kinafanya vice versa
 
Tunatii kauli ya Gwiji la siasa, kiongozi Mkongwe toka chama kikongwe CCM kwamba Urais si kubeba ZEGE....!!

Nakubaliana kabisa na kauli hii maana Maalim ana akili shap tena za kidigitali zilizobeba Modern Politics Methodology ...anawaburuza vijana wengi sana hasa wa Lumumba ambao tayari wameshadumaza akili na mawazo yao kwa kuimba mapambio mfululizo.
 
Ni sababu tosha ya kuonesha kushindwa....maana yake ni kuwa chama au kiongozi husika kashindwa kuandaa warithi! Hiyo pekee inaonesha sio kiongozi nzuri. Hafai.

Kwani ufalme hata uwepo mrithi? Mnaogopa ndevu hehe
 
Waziri mkuu wa Malaysia 92
Biden mgombea urais USA 77
 
Sefu ni chui wa makaratasi,anataka umakamu wa kwanza wa Rais ili apumzike
 
Ninachosikitika ni kua huyu mzee anazeeka sisi ndio tunapenda...
Umri ni namba tu hata akifika miaka 1000 akigombea kura yangu anayo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…