Zanzibar 2020 Maalim Seif: Tutamshinda Dkt. Hussein Mwinyi kwa kura zaidi ya 100,000

Yaani kila mwaka ngonjera ni hizihizi..Seif katika hili la kutetea haki ya wazanzibar wanadhulumiwa kura zao ni mwongo..hizi hadithi zilianza tangu 1995..2000..2005..2010..2015.katika hili utaaminiwa na wasiokufahamu!
 
hajapenda kuyatamka maneno haya. Inaonekana wazi amechoka kudhulumiwa. Ina maana gani kufanya uchaguzi wa kupiga kura iwapo mshindi hatangazwi???

Kuna wakati mtu anasukumwa anakubali, Ila akifikishwa ukutani lazima reaction iwepo.


JESUS IS LORD.
 
Hahaha hajitambui huyo, ccm na kura ni mwezi na jua
 
Siku ya matokeo anawekwa chini ya ulinzi anazungukwa kila kona mtu anatangazwa na kuapiswa kabisa alafu tuone ataenda wapi na atatokaje kwake mbele ya bataliani nzima ya ulinzi
Sasa huu ni ubabe au ushenzi?
 


Zanzibar hawaangalii chama mkuu, wenyewe alipo Maalim wako nae. Nasafari hii naona ameamua kucheza kete yake ya mwisho vizuri baada ya uonevu wa muda mrefu na dhihaka za rejareja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…