Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Mapanga ya Mapinduzi bado yapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maalim ndiye aliyesema hivyo! "Ukhanithi mwisho bara".Yaani sisi huku bora ndio tunaitwa makhanisi?
hajapenda kuyatamka maneno haya. Inaonekana wazi amechoka kudhulumiwa. Ina maana gani kufanya uchaguzi wa kupiga kura iwapo mshindi hatangazwi???Naamini kuna kauli mbadala hasa unapotaka kuwasilisha ujumbe wowote ule.
Kauli kama hizi hazifai hasa kwa mtu anayetafuta wadhifa mkubwa wa kuongoza watu.
Zaidi ya hayo umri wake kama Mzee ugemfanya kuyapima maneno yake kabla hajayafyatua. Maana yakishatoka na kuleta madhara huwa hayarudi kamwe.
ACT wanachokitafuta watakipata waanzishe tu hizo vurugu
Sasa huu ni ubabe au ushenzi?Siku ya matokeo anawekwa chini ya ulinzi anazungukwa kila kona mtu anatangazwa na kuapiswa kabisa alafu tuone ataenda wapi na atatokaje kwake mbele ya bataliani nzima ya ulinzi
Atapigiwa tuu ngoja waanzishe hizo fujoMaalimu seif anam beep mtukufu magufuli
Mbona.siku hizi hawamheshimu wala kumuogopa jiwe hadi wanasema upumbavu kafanyie huko bara loooooooh!
Mi hata sijui haki ya mungu tenaSasa huu ni ubabe au ushenzi?
Akishapigiwa unadhani wewe utabaki salama ?Atapigiwa tuu ngoja waanzishe hizo fujo
Wamehakikishiwa ulinz na mabeberuMbona.siku hizi hawamheshimu wala kumuogopa jiwe hadi wanasema upumbavu kafanyie huko bara loooooooh!
Anataka kuwauza kama 205 yeye aishie umangani watakubali hayooMaalimu seif anam beep mtukufu magufuli
Msije mkajutia tuuHaya sasa CCM wanalazimisha vita,Maalim ananoa jambia kichwa cha Magufuli kitaruka hadi Chato
Magu amejiunga bundle la miezi mitatu mfululizo ili aweze kufuatilia yanayojiri kwa Rais LissuMtukufu sikuhizi anasikilizia Tundu Lissu anangurumia wapi leo.
Jifunze kuandikaAnataka kuwauza kama 205 yeye aishie umanagani watakubali hayoo
Ila 2015 ilikuwa aibu sana, this time maalimu kaamua halafu pia amepata sana nguvu kwa Tundu Lissu.
Yaani naamini kama Maalimu angeenda Chadema mambo yangekuwa tofauti sana.
Sijui kwanini hakwenda Chadema. Chadema ndo wanaweza hizi harakati, ACT na CUF hawana historia ya kuwa wapinzani kwahiyo kuna level fulani ya mapambano na harakati hawawezi kufika