Tetesi: Maalim Seif under house arrest

Status
Not open for further replies.

KISHADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
2,226
Reaction score
3,291
Hii ni kwa mujibu wa Mzalendo.net Zanzibar.

Taarifa zinasema wengine wanaotakiwa kuwekwa ndani ni

Mh Mazrui
Edy Riyami
Mh Hamad Masoud ambaye leo asubuhi alikamatwa akiwa nyumbani kwake Zanzibar.

Imeelezwa lengo kubwa ni kupisha uchaguzi wa marudio.

stay tuned.

===========


Chanzo: Mzalendo.net
 
Kwa hali hii, serikali ya CCM haina tofauti na serikali ya Zaire chini ya dikteta Mobuto Seseseko Wanzibanga Kuku wa Kinshasa.


Vyovyote iwavyo, kwa hali ya Zanzibar inavyoendelea ieshakuwa ngumu kwa kiongozi yoyote kutawala kwa utulivu bila ya kupatikana suluhu.


Suali la kujiuliza hali hii iliyotengenezwa Zanzibar kweli imekusudiwa kufanyika Uchaguzi ? mbona tension itakuwa kubwa

Kuna nini?
 
Watakuwa wamecheza kama pele hao wote ni magaidi, weka ndani haraka.
 
Hiyo house arrest ya namna gani na tunaonyeshwa yupo Serena hotel
anakula kuku kwa mrija?

 
House arrest??? Maajabu katika nchi yetu
 
home arrest kama besigye!
detention NO NO NO.
Tanzania democratic country!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…