Tetesi: Maalim Seif under house arrest

Tetesi: Maalim Seif under house arrest

Status
Not open for further replies.

KISHADA

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
2,226
Reaction score
3,291
Hii ni kwa mujibu wa Mzalendo.net Zanzibar.

Taarifa zinasema wengine wanaotakiwa kuwekwa ndani ni

Mh Mazrui
Edy Riyami
Mh Hamad Masoud ambaye leo asubuhi alikamatwa akiwa nyumbani kwake Zanzibar.

Imeelezwa lengo kubwa ni kupisha uchaguzi wa marudio.

stay tuned.

===========

Maalim Seif – ‘Under House Arrest’
Edy Riami – Kuwekwa ndani
Nassor Mazrui – Kuwekwa ndani
Hamad Massoud – Kuwekwa ndani

Nani alobaki?

Strategy ya kubana UAMSHO yaelekezwa CUF, ingawa itakuwa kwa muda tu hadi harakati za uchaguzi wa Jecha zitakapokwisha.

Hakuna la kuandika sana zaidi watu wapate maudhui.

Chanzo: Mzalendo.net
 
Kwa hali hii, serikali ya CCM haina tofauti na serikali ya Zaire chini ya dikteta Mobuto Seseseko Wanzibanga Kuku wa Kinshasa.


Vyovyote iwavyo, kwa hali ya Zanzibar inavyoendelea ieshakuwa ngumu kwa kiongozi yoyote kutawala kwa utulivu bila ya kupatikana suluhu.


Suali la kujiuliza hali hii iliyotengenezwa Zanzibar kweli imekusudiwa kufanyika Uchaguzi ? mbona tension itakuwa kubwa

Kuna nini?
 
Watakuwa wamecheza kama pele hao wote ni magaidi, weka ndani haraka.
 
Hii ni kwa mujibu wa Mzalendo.net Zanzibar.

taarifa zinasema wengine wanaotakiwa kuwekwa ndani ni

Mh Mazrui
Edy Riyami
Mh Hamad Masoud ambaye leo asubuhi alikamatwa akiwa nyumbani kwake Zanzibar.

Imeelezwa lengo kubwa ni kupisha uchaguzi wa marudio.

stay tuned.

===========



Chanzo: Mzalendo.net
Hiyo house arrest ya namna gani na tunaonyeshwa yupo Serena hotel
anakula kuku kwa mrija?

House arrest.jpg
 
House arrest??? Maajabu katika nchi yetu
 
home arrest kama besigye!
detention NO NO NO.
Tanzania democratic country!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom