Maambukizi ya ukimwi

Kuna mambo mengi yame fichwa kuhusu ili gonjwa... kuna tofauti kubwa kati ya ukimwi na vvu... na ukimwi sio tatizo sana kama vvu... wahanga wa ili gonjwa kutoka africa asilimia 97% wana ukimwi na asilimia 3% pekee ndo wana vvu... ki msingi upungufu wa kinga mwilini una letwa na magonjwa mengi na sio vvu pekee.... daktari ata kupima aki kuta una upungufu wa kinga mwilini tayari we ni mgonjwa wa ukimwi na una pewa ARV...
 
A...Inawezekana ukawa na vvu halafu usiwe na ukimwi??
B....je pia inawezekana ukawa na ukimwi halafu huna vvu

Sasa apo nan anapewa Arv A or B
 
Maambukizi ya HIV, huchukua masaa 72 kwa virusi kujiingiza kwenye chembe hai za mwili. Baada ya wiki mbili utaanza kusikia dalili za mafua na kihoma kidogo. Hapa mwili unakustua kuwa umeingiliwa na adui. Utapona homa na maisha yataendelea.

Utaanza kupata fungus na ngozi kuwasha, hapa CD4 zimeanza kushambuliwa. Mawazo ya wengi ni kutafuta dawa za fungus na kunywa piriton kukomesha muwasho wa ngozi. Bila kujua kuwa kuna adui mkubwa zaidi. CD4 zitapungua taratibu.

Kama kinga ya mwili ilikuwa nzuri kabla ya maambukizi utakaa hata miaka mitano bila kufahamu kuwa umeambukizwa. Wengine hukaa miaka 10. CD4 zikianza kushuka chini ya 500 mwili utapata homa kali sana. Joto kali, kutapika kwa wengine. Hapa mwili unakufahamisha umesurrender kwa adui.

Homa hii itapona lakini utaanza kuchoka na kupenda kulala. Utajikuta masaa mengi ya siku unayatumia kitandani. Fungus wanakusumbua kwakuwa mwili hauwezi kupigana nao tena. Hapa uko kwenye hali mbaya na magonjwa nyemelezi kama TB na pneumonia yanaweza kukushambulia kirahisi.

Kuna wanaovuka stage hii mpaka kufikia AIDS ndiyo huwa mahututi kitsndani. Sigara Kali

CD4 ni kama jeshi la ulinzi kwenye mwili wako, wakishambuliwa mwili unashindwa kupigana kabisa na hatari ya aina yeyote.
 
siku ya kwanza nilipo enda kupima na wife hakika nililowa jasho mpaka kweny kucha daaah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Imagine hadi kucha!
 
Duh kwa hiyo baada ya masaa 72 mambo yanajipa je baada ya week ukienda kupima virusi vya ukimwi kama umeambukizwa vitaonekana
 
Duh kwa hiyo baada ya masaa 72 mambo yanajipa je baada ya week ukienda kupima virusi vya ukimwi kama umeambukizwa vitaonekana
Inategemea clinic unayopima ina vipimo vya utaalamu gani. Hivi vya sasa ni wiki mbili lakini vya zama ni ni miezi mitatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…