Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile chanjo za HIVNdo kitu gani hiko?
siku ya kwanza nilipo enda kupima na wife hakika nililowa jasho mpaka kweny kucha daaah.Kupima so mchezo jaman
Sio rahs kama tunavoongea hapa
Bora wewe mkuu sijawahi kupima toka nazaliwasiku ya kwanza nilipo enda kupima na wife hakika nililowa jasho mpaka kweny kucha daaah.
A...Inawezekana ukawa na vvu halafu usiwe na ukimwi??Kuna mambo mengi yame fichwa kuhusu ili gonjwa... kuna tofauti kubwa kati ya ukimwi na vvu... na ukimwi sio tatizo sana kama vvu... wahanga wa ili gonjwa kutoka africa asilimia 97% wana ukimwi na asilimia 3% pekee ndo wana vvu... ki msingi upungufu wa kinga mwilini una letwa na magonjwa mengi na sio vvu pekee.... daktari ata kupima aki kuta una upungufu wa kinga mwilini tayari we ni mgonjwa wa ukimwi na una pewa ARV...
mkuu jitoe mhanga uende ukapime ili ukae kwa amani na uishi kw kuringa kama mm.Bora wewe mkuu sijawahi kupima toka nazaliwa
hakuna ngoma mbonaUkimwi kwa njia ya ngono bila condoms unaambukizwa kwa shahawa/ute wa mwanamke au damu kupitia michubuko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91]siku ya kwanza nilipo enda kupima na wife hakika nililowa jasho mpaka kweny kucha daaah.
Umeoa/ umeolewa?Bora wewe mkuu sijawahi kupima toka nazaliwa
Duh kwa hiyo baada ya masaa 72 mambo yanajipa je baada ya week ukienda kupima virusi vya ukimwi kama umeambukizwa vitaonekanaMaambukizi ya HIV, huchukua masaa 72 kwa virusi kujiingiza kwenye chengen hai za mwili. Baada ya wiki mbili utaanza kusikia dalili za mafua na kihoma kidogo. Hapa mwili unakustua kuwa umeingiliwa na adui. Utapona homa na maisha yataendelea.
Utaanza kupata fungus na ngozi kuwasha, hapa CD4 zimeanza kushambuliwa. Mawazo ya wengi ni kutafuta dawa za fungus na kunywa piriton kukomesha muwasho wa ngozi. Bila kujua kuwa jana adui mkubwa zaidi. CD4 zitapungua taratibu.
Kama kinga ya mwili ilikuwa nzuri kabla ya maambukizi utakaa hata miaka mitano bila kufahamu kuwa uneambukizwa. Wengine hukaa miaka 10. CD4 zikianza kushuka chini ya 500 mwili utapata homa kali sana. Joyous kali, kutapika kwa wengine. Hapa mwili unakufahamisha umesurrender kwa adui.
Gina hii itapona lakini utaanza kuchoka na kupenda kulala. Utajikuta masaa mengi ya siju unayatumia kitandani. Fungus wanakusumbua kwakuwa mwili hauwezi kupigana nao tena. Hapa uko kwenye hali mbaya na magonjwa nyemelezi kama TB na pneumonia yanaweza kukushambulia kirahisi.
Kuna wanaovuka stage hii mpaka kufikia AIDS ndiyo huwa mahututi kitsndani. Sigara Kali
Inategemea clinic unayopima ina vipimo vya utaalamu gani. Hivi vya sasa ni wiki mbili lakini vya zama ni ni miezi mitatu.Duh kwa hiyo baada ya masaa 72 mambo yanajipa je baada ya week ukienda kupima virusi vya ukimwi kama umeambukizwa vitaonekana
Hospital za serikali za wilayaInategemea clinic unayopima ina vipi morning vya utaalamu gani. Hivi vya sasa ni wiki mbili lakini vya zama ni ni miezi mitatu.
Waulize wakati wanakupimaHospital za serikali za wilaya
Hatari nimepima VVU tarehe 22 mwezi upiopita wameniambia baada ya miezi 3 nirudi tena nikapime wakati huo tayari nilishiriki ngono nzembe kama week moja na nusu na nikakutwa na u.t.iWaulize wakati wanakupima
Mkuu wewe tayari ...anza kabisa dozi ya ARVHatari nimepima VVU tarehe 22 mwezi upiopita wameniambia baada ya miezi 3 nirudi tena nikapime wakati huo tayari nilishiriki ngono nzembe kama week moja na nusu na nikakutwa na u.t.i
MmmmSiku hzi hamna haja ya kusubiri miezi mitatu, ni mwezi mmoja tu
Yaani nikiona comment yakoBody fluids including sperms, blood, vaginal discharge ect
Anamaanisha mwezi mmoja baada ya kukutana na mwathirika uende ukapimeMwezi kivip mkuu?